Msichana uchumi ukiyumba utasikia 'bora tuachane'

Msichana uchumi ukiyumba utasikia 'bora tuachane'

Akisema hvyo hiyo ni fursa murua ya kupambanana kusaka hela mwisho wa siku unapata ingizo jipya
 
Hahaaaaaa hapana chezeeeiya msukuma ni kitu kingine
Kuna mmoja hapo juu ametaja hiyo kitu ambayo na wewe unaisema "hapana chezeeiya msukuma ni kitu nyingine". Yeye amesifia kimbilio la warembo wengi "jang'ombe". Ni hiyo pia imekuchizisha kwa msukuma??
 
Kuna mmoja hapo juu ametaja hiyo kitu ambayo na wewe unaisema "hapana chezeeiya msukuma ni kitu nyingine". Yeye amesifia kimbilio la warembo wengi "jang'ombe". Ni hiyo pia imekuchizisha kwa msukuma??
Vingi tu vimenichizisha kabisa kwake
 
Sasa amejuaje ka uchumi kako kameyumba,hilo ni kosa lako,wacha akuache tu....
 
Akisema bora tuachane nawe kichwa kinakuuma maskin, duh! Akisema hivyo si ndo penyew hapoo
 
Kuna mtu alieleza sifa za msingi na za bonus kwa kinadada.
Ila naona leo bonus imezidi zile za msingi mkuu.
Mkuu, hii dunia inazunguka aisee. Unaweza ukasoma maneno, kesho yakaja kinyumenyume. Kwa karne ya leo na lifestyle ya sasa, pesa kuitwa bonus...mmmh, sijui labda nawe unisaidie mkuu.
 
pesa ikipitia mlangoni mapenzi hupitia dirishani .. pole mkuu
 
Funny thing about women...
wanayo maanisha hawayasemi
wanayosema sio wanayo maanisha
Upo sahihi mkuu, KE wakiwa kwenye stori na mwenzao au ME tena story za kawaida atasema "mimi simpendei mwanaume pesa" lakini ziishe sasa ndio utajua pesa anazipenda au hazipendi.
 
Back
Top Bottom