Dickson mwaipopo
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 480
- 460
tuache masihara, mapenz hayawezi kunoga bila pesa.....pesa ndo kila kitu bhanaa vingine hivo huja baadae tu!
ha ha ha wasukuma banausukuma wangu ndo uliniponza!!tatizo wasukuma tunajifanya tunajuaga mno kudodonkea!!!
just forgive and forgetni kumdondokea tu....ila najua naye wajanja watanilipizia!
pesa haijifichi......dawa ni kumfanya asikujue kiuchumi. ukiwa nazo asijue na ukifulia asijue.
hivi wewe ndo umechoma sindano....
Wanajua mbona, sema tamaa kwa sana....in fact some of them do not know what they want in relation!
Hahaaaa mumezidi ugoi ugoi mkuu
Duuuuh ila ndo hao ambao wanakuja kustuka umri wa kuolewa umepita sasa wanakuwa tayar kuolewa na yyte yule thn wanaishia kuzalishwa afu inakuwa imekula kwao......in fact some of them do not know what they want in relation!
Wasukuma mnapenda kususasusa eeh?usukuma wangu ndo uliniponza!!tatizo wasukuma tunajifanya tunajuaga mno kudodonkea!!!
Wanapenda ila inabidi uwe mwangalifu ukiwaudhi kidogo wanasusa lolNasikia wasukuma wanajua kupenda.. akikupenda anakupenda kweli kweli....
Sa hivi umepata kumbatio la dhati lakini????
Ha haa vibaya hivyo...Kweli mumezidi kupenda vibaya had mnakua ka kipofu mi msukuma langu hata simjali lakini alivokolea sasa chah