Mzee wa fursa huyoMbona nimeipiga hiyo namba limepokea dume linakoroma kama chura??
Afu nimeitumia pesa jina limetokea Rashid Athumani...
Au "mrembo" unamaanisha bwabwa??
ntakucheki jioniUmejificha huko Salasala unategemea bia zikufuate huko?? Kuja pande za Hisaje tukule vitu vya baridiiii
Tuliza ball mpenziMzee wa fursa huyo
Hayo ndo maneno sasa. Uje na Zena na Farida ili mkutano ukamilike vizurintakucheki jioni
Inawezekana mkuu, yuko kusaka wateja kidigitalMbona nimeipiga hiyo namba limepokea dume linakoroma kama chura??
Afu nimeitumia pesa jina limetokea Rashid Athumani...
Au "mrembo" unamaanisha bwabwa??
Partners in crimeUmejificha huko Salasala unategemea bia zikufuate huko?? Kuja pande za Hisaje tukule vitu vya baridiiii
Ewaaaa... unaruhusiwa kujoin chama kubwa la walipa kodi via vimiminika...Partners in crime
NtawatafutaEwaaaa... unaruhusiwa kujoin chama kubwa la walipa kodi via vimiminika...
Nipm nipo seriousSerious anatafuta kazi office classic, Ni msichana Mrembo na anajua kucheza na saikolojia ya wateja kwenye biashara au Ofisi yako
Soma tena kwa umakini comment yangu huenda ukaelewa kusudio langu,naona hukunielewa!!Hayo ni mambo ya kibinadamu, hata wewe unaweza kupata ajali mbaya usiweze kufanya kazi tena, usiombee hayo mambo yatokee
Shetani ameshindwa
Nafasi bado ipo kaka nahitaji nipo mwnz nmesomea Secretarykuna nafasi moja inayomfaa vodacom arusha,kama anakaujuzi ka computer anichek inbox haraka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona nimeipiga hiyo namba limepokea dume linakoroma kama chura??
Afu nimeitumia pesa jina limetokea Rashid Athumani...
Au "mrembo" unamaanisha bwabwa??