Msichana Mrembo anatafuta kazi ya Reception

Kanyunyu

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
335
Reaction score
495
Hi brothers and sisters

Msichana Mrembo (the most beautiful girl) anatafuta kazi ya Reception, supermarke, secretary au kwenye Ofisi yeyote classic maeneo ya Dar-es-Salaam

Ni msichana Mrembo kweli kweli ambae atakuwa kivutio Tosha ndani ya Ofisi yako, mchapakazi, charming na hana kiburi

Hili ni jambo serious, take it serious brothers and sisters

Mawasiliano :Voda 0742127378

Asanteni Sana
 
Sometimes ni mbaya sana kuajiriwa kwa kigezo cha urembo,
Hivi kama msichana amepata kazi kwa kigezo cha urembo wake ina maana kwa mfano siku akianguka na boda boda na kuharibu sura yake ndio ajira yake inakua imeota mbawa? Umri ukienda na urembo wake ukaanza kuchuja ndio ajira yake basi tena?
 
Wazee wa Reception watakueleza umuhimu wa kuwa na mrembo ofisini kwako, wateja hawatakauka aisee, very important
 
Sometimes ni mbaya sana kuajiriwa kwa kigezo cha urembo,
Hivi kama msichana amepata kazi kwa kigezo cha urembo wake ina maana kwa mfano siku akianguka na boda boda na kuharibu sura yake ndio ajira yake inakua imeota mbawa? Umri ukienda na urembo wake ukaanza kuchuja ndio ajira yake basi tena?
Hayo ni mambo ya kibinadamu, hata wewe unaweza kupata ajali mbaya usiweze kufanya kazi tena, usiombee hayo mambo yatokee

Shetani ameshindwa
 
Hi brothers and sisters

Msichana Mrembo (the most beautiful girl) anatafuta kazi ya Reception, supermarke, secretary au kwenye Ofisi yeyote classic maeneo ya Dar-es-Salaam

Ni msichana Mrembo kweli kweli ambae atakuwa kivutio Tosha ndani ya Ofisi yako, mchapakazi, charming na hana kiburi

Hili ni jambo serious, take it serious brothers and sisters

Mawasiliano :Voda 0742127378

Asanteni Sana
Mbona nimeipiga hiyo namba limepokea dume linakoroma kama chura??

Afu nimeitumia pesa jina limetokea Rashid Athumani...

Au "mrembo" unamaanisha bwabwa??
 
Mbona kama carolite au ule udongo special?
By the way wapo wanaohusudu hayo ila mimi binafsi niko na Kipozeo
Ni original mkuu, classic want to meet classic job
 
Back
Top Bottom