Msichana Mfupi kuliko Wote Duniani

Msichana Mfupi kuliko Wote Duniani

Mkuu bado hujatuaambia umri wake!nafikiri ni muhimu kujua hili!!
 
kila binadamu huumbwa na Mungu na kisha huletwa duniani. tumshukuru Mungu kwa uumbaji wake.
 
umekosea kaka she has 16 yrs old.she was born in 1993
 
Muda si Mrefu Mijitu itaanza kukichakachua.......

Na kenyewe katahitaji ati ehhhh.........
 
binadam tumeumbwa tofaut tofaut ni bora huyo anaonekana kuliko wengine wapo ok ila mawazo na akili zao kama kin.......esi hiv
 
sio mdogo we uoni sura imekomaa sema ni mkubwa
 
Hakika maajabu ni mengi! nigependa kujuwa taaluma yake vipi? Hebu eleza historia yake kwa kirefu. Kumbuka kuwa ufupi si ugonjwa! Unamkumbuka Andunje wa kitabu kile tulichosoma enzi hizo na KIbanga aliyempiga mkoloni? Kama hukisoma kitafute. :lalala:
 
Good enough ni kuwa mungu amempa viungo vyote.....si kilema!
 
Back
Top Bottom