Msichana kumjali mpenzi wake ni hongo?

twenty2

JF-Expert Member
May 20, 2011
296
32
wasina wengi wanaona kitendo cha kumjali au kumsaidia mpz wake ni kumuonga,mfano umetoka na mpz wako then ww msichana ukatoa uduma ya kila k2 kama chakula,vinywaji,even chumba then baada ya apo ukampa kdogo mpz wako fedha za kutumia, kwa msichana ni ongo akifanya mvulana si ongo kwann?
 
Umeniongelea yaliyo moyoni mwangu kabisa. Mie huwa nashangaa sana wanaume sijui mkoje/wakoje ukimfanyia hivyo taabu mtindo mmoja na atakutangaza vibaya yule mwanamke anahonga sana huwa najiuliza sipati majibu.

Sometimes unamuonea huruma hana kitu unamsaidia lakini atasema ha ha ha anahonga sana huyo mwanamke ngoja nimpigie atakuja anunue chakula vinwaji nk nachukia sana hii tabia kwa baadhi ya wanaume
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Anahonga au anaonga? lol napita tu....
 
wasina wengi wanaona kitendo cha kumjali au kumsaidia mpz wake ni kumuonga,mfano umetoka na mpz wako then ww msichana ukatoa uduma ya kila k2 kama chakula,vinywaji,even chumba then baada ya apo ukampa kdogo mpz wako fedha za kutumia, kwa msichana ni ongo akifanya mvulana si ongo kwann?

Samahani nimeshindwa kuvumilia hivi shule uliyosoma kulikuwa kunafundishwa kiswahili? nina maana hasa kwenye sarufi na kuandika insha. Ulipata kuulizwa swali halafu ukaambiwa utumie vitabu kama vya ngoswe na hiba ya wivu? kama jibu ndio mwalimu wako namwonea huruma sana alikuwa ana shughuli kubwa sana kwenye ku mark!

Anyway kwa msichana ni ongo ila kwa mvulana mara nyingi inakuwa kweli...........
 
njoo nikuhonge huku!
 
Kama mmeshibana,hakuna shida yeyote kati yenu kuclear bills.Si issue ya nani afanye hivyo.
 
wanaume wa ivyo ni washamba kama msemo au wimbo wa jide bint machozi wanaume kama mabinti,kwasababu kusaidiana katika mapenzi ni kawaida na ata wasichana wengine uwa wanajshu2kia sana kufanya ivyo na wanaogopa coz anaweza akatangazwa vbaya au kadhalilika.kwaiyo wanaume muache tabia iyo na kwa mabiti usione aibu kumsaidia mpz wako kwanza inakupa heshima na kujiamini,wanawake tunaweza bwana.
 
wasina wengi wanaona kitendo cha kumjali au kumsaidia mpz wake ni kumuonga,mfano umetoka na mpz wako then ww msichana ukatoa uduma ya kila k2 kama chakula,vinywaji,even chumba then baada ya apo ukampa kdogo mpz wako fedha za kutumia, kwa msichana ni ongo akifanya mvulana si ongo kwann?

binadamu wote ni sawa!
kama mnapendana vilivyo na mnania moja ya kuishi pamoja sioni kama kuna tatizo la binti ku-expense account yake.
kwa binti anayejali hata kukupa hela ya matumizi siyo mbaya kabisa kwani kila mtu anakipato tofauti.
mfano:
mimi napokea 1,357,000/= (ila changu halisi hakifiki hata laki tano)
na demu wangu anapokea 3,743,000/=
automatically binti atakuwa anaingia garama zaidi kwenye matumizi yetu pia na kinyume chake ni applicable.
 
Basi kama unanibania hutaki kunionga nakumwaga namfata twenty2
mm uwa siongi napenda kusaidiana,usimuache bwana kuwa mkweli kwa mpz wako kama una kitu mwambie usiogope na usipende kuongwa na sio kuongwa ni kusaidiana kama uwa unasema mpz wako anakuonga sio vzr.
 
Back
Top Bottom