Hili nalo neno ngoja nifanye tathiminiUkiacha madini....bidhaa nyingine inayonunulika sana aidha kwa uwazi au kwa kificho aidha kwa pesa au kwa vitu au kwa ahadi kem kem si nyingine bali ni NYUCHI LIMITED
...mmmh hii biashara ya kutengeneza boksi inalipa kuliko yoyote ile...wateja hawakosekani na wewe karibu sana uniungishe
Hebu ntajie wataka kiasi gani ili niidabo
Wewe nitathmini then udabo hicho kiasi unachotaka kunipa😀😀
Mmmmh ngoja nimsaidie.
Ulishasem in flat, hiyo double utaipaje. Double kwa watu wenye vifusi vyao bhana
necha necha kuna mtu anakuhitaji.......... muelewane hahahaaaaa
Duh wanaume kweli kazi tunayo,yaani mtu unaombwa milioni in return for papuchi.....Wenzio tunaomba million we laki unalalamika hee fanya kazi kijana
Afu story haieleweki kabisa
ati kutokuwa bahili maana yake ni kugawa hela hata kwa vitu vidogo kama papuchi au?acha ubahili kijana
kama shida hela njoo pm tuyamalize....................Hayo ya kulana ni yako.Mie nimeomba hela tu
hivi bwana yerico alishalipa pesa ya mshindi? maana sijapata update toka kipindi kile jamaa alivyokuwa anadaiWasichana walikuwa kama wanne hivi toka kwenye gari aina ya Chesa, wamejaa hangover kama vile usiku walikesha, akatoka msichana mmoja mrembo toka kwenye lile lile gari akanambia tuelewane, twenzetu tukajichane. Kama kuna wasichana mia kama hawa wengi tutakuwa tunaugua UKIMWI.
Sitaki demu-Juma Nature
ati kutokuwa bahili maana yake ni kugawa hela hata kwa vitu vidogo kama papuchi au?
Ha ha haaa! Aisee dadaa kumbe unakakumbuka haka kajisongi ka Nature alivyomwimbia Sinta! Kuna watu humu hawakajui na walikuwa watoto sana enzi hizo!
shindwa pepo
Wasichana walikuwa kama wanne hivi toka kwenye gari aina ya Chesa, wamejaa hangover kama vile usiku walikesha, akatoka msichana mmoja mrembo toka kwenye lile lile gari akanambia tuelewane, twenzetu tukajichane. Kama kuna wasichana mia kama hawa wengi tutakuwa tunaugua UKIMWI.
Sitaki demu-Juma Nature
we mkuu umenikumbusha kipindi juma nature yuko katika ubora wake..
Nakumbuka kinoma looo ni shida kweli ilw staki demu