SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
Ukiacha madini....bidhaa nyingine inayonunulika sana aidha kwa uwazi au kwa kificho aidha kwa pesa au kwa vitu au kwa ahadi kem kem si nyingine bali ni NYUCHI LIMITED
Gwee sikajhapo nasimo kikolo, kapango itolo akalwimbo lwa Juma Nature! Nguswigha itolo abhajhanga abha bhikwijumana nukukalala! Kanghi kumbhumalikisyo nsimbile ukuti akapango akha ka Juma Nature, bhatikusyagania nasimo! Amahala ghabho mapiimba fhijho gwe!kyalankota malafyale findufiki nkamu?
kweli kabisa aisee
Ndiyo nashangaa hata mimi. Dem wa hivyo unampa 3m za mwezi mzima asikusumbue
mpe tu
kuombwa laki ndiyo ukavurugikiwa?
akiomba laki moja, mkomoe kwa kumpa laki mbili...
Kavurugwa
Kichwa miguu na kila aina ya kiwiliwili vimepotea, yaan huelewek.
Duh! Inaelekea wote ambao hamjaelewa hapa ni kizazi kipya cha akina young D, dogo aslay na wengineo!shangaaa eti lakiiii mtu anakuja kulialia jf inaonekana laki kwake ndo kiwango cha juu.ahaaaaa asije pita pande hii.
Wenzio tunaomba million we laki unalalamika hee fanya kazi kijana
Afu story haieleweki kabisa
Hii ngoma ilitwa Sitaki demu au inaniuma sana ? Huwa zinanchanganya
Hizo nyimbo mbili kama zinafanan hivi
Sitaki emu gooh!
shangaaa eti lakiiii mtu anakuja kulialia jf inaonekana laki kwake ndo kiwango cha juu.ahaaaaa asije pita pande hii.
Hii ngoma ilitwa Sitaki demu au inaniuma sana.Huwa zinanchanganya
Duh! Inaelekea wote ambao hamjaelewa hapa ni kizazi kipya cha akina young D, dogo aslay na wengineo!
Ndiyo nashangaa hata mimi. Dem wa hivyo unampa 3m za mwezi mzima asikusumbue
shangaaa eti lakiiii mtu anakuja kulialia jf inaonekana laki kwake ndo kiwango cha juu.ahaaaaa asije pita pande hii.
Msifanye masihara na hela,laki sio hela ndogo
Acha ubahili kijana
Kwa style hii usingle unanihusu,nahonga nipate kazi nzuri inayolipa au kazi yoyote nipate mkate wa kila siku.Kwa mwanamke nitapata nini?
akiomba laki moja, mkomoe kwa kumpa laki mbili...
Ndiyo nashangaa hata mimi. Dem wa hivyo unampa 3m za mwezi mzima asikusumbue
hapa naanza kutuma maombi mkuu.. miss chagga umemuona huyu??? fursa hii