hahaaaaa.. nataka mizinga miwili tu alafu nasepa
Kuna watu wanaitwa, Hondohondo, walezi wa wana. Wakipita sehemu hao, wewe na mimi wenye hela ya mawazo hatutii mguu!.Dah watu mna hela aiseee
Kwa style hii usingle unanihusu,nahonga nipate kazi nzuri inayolipa au kazi yoyote nipate mkate wa kila siku.Kwa mwanamke nitapata nini?
hapa naanza kutuma maombi mkuu.. miss chagga umemuona huyu??? fursa hii
Mmmh!!! mbona wapeperusha tetere wangu weye....
Hahah ile ni biznesi tu...
Rejea kauli ya jk
Ukitaka kula ukubali kuliwa
Hayo ya kulana ni yako.Mie nimeomba hela tu
Rejea kauli ya jk
Wanawake uchumi mnao lakini mumeukalia
Unataka kuninyima nini?
haya kila la kheri .. ni biashara ukikosa wateja unafanyaje?