Msichana gani wa star ni mzuri zaidi

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,576
18,894
Hili ni jukwaa la celebrity numeleta kidogo mjadala wa demu yupi wa star wa kibongo ni mkali zaidi.

Kwa upande wangu namuona mke wa Kiba, Bi Amina Khaled a.k.a Mrs Ali kiba ana ngozi nzuri tena natural; yaani kiufupi ana uzuri wa asili ila make up hazimkubali. Vip kwa upande wako demu yupi wa star unamuona ni mzuri sana kwa sura?

ali.jpg
 
Mzuri sura ila body halivutii

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Huyu demu ana matako balaa , ukimkamata huyu unapiga pipe mpak mornie , tatizo wanaomtoboa wengi wala chips , et dogo janja Naye, huu msambwanda si alikuwa anaupapasa tuu....
Kwani wewe ulitaka atobolewe na Nani?
 
Back
Top Bottom