msichana anatafuta kazi za nyumbani

Aug 5, 2011
11
1
msaada jamani kuna msicha ana umri wa miaka 25. elimu darasa la saba. anatafuta kazi za nyumbani (housegirl) . ila isiwe kazi ya kulala kwa mwajiri ni yakwenda asubuhi na kurudi jioni. kuanzia j3 hadi j. mosi. mshahara kuanzia sh 80,000 maelewano yapo. atakayekuwa anamuhitaji awasiliane na mimi kwa no 0787559619
 

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,957
4,622
Mi nahitaji msichana wa kazi lakini huyo wa part time, hapana.
Alafu J2 awe off kama anafanya kazi Serikalini!
 

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,801
24,508
miss msemakweli,angalia usije ukawa unafanya ile biashara haramu ya binadamu. muambie adai laki,siku hizi wa kuondoka ndo rates zao. kila la kheri.
 
Aug 5, 2011
11
1
miss msemakweli,angalia usije ukawa unafanya ile biashara haramu ya binadamu. muambie adai laki,siku hizi wa kuondoka ndo rates zao. kila la kheri.

sifanyi biashara yoyote.just namsaidia huyu dada kwani anashida hiyo. pia awe anapewa nauli sh 600 kila siku. sio kama anamume ni uamuzi wake na kutokana na umri wake si vyema afanye kazi na kulala kwa mwajili yeye ndio mtazamo wake. j2 anaenda kanisani. ameokoka, so anahitaji muda wa kumwabudu Mungu wake.
 

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,801
24,508
kama kuna issue ya nauli pembeni then 80,000 ni sawa. japo kuna watu hawajali kuishi na maid mtu mzima, na j2 kupata off ya kwenda kanisani na kuonana na mshkaji wake pia ni halali yake. atapata kazi,mungu atamsaidia. hongera kwa kujaribu kumsaidia.
 

OTIS

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
2,242
803
Mie ninahitaji ila anatakiwa kufanya kazi siku zote 7.
Na atakaa kwangu.
Mie bachelor.
OTIS.
 

PrN-kazi

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
2,900
439
Soma Wage Order and Regulations GN 172 ya 2007 (au Labour Institution Act, Cap 300 ya 2010) utaona kiwango cha mshahara wa Housegirl achana na ubabaishaji wa elfu 80 na Laki 1 kwa mwezi. Labda kama kuna utani ndani yake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom