Msichana aliyebadili jinsia kuwa ya kiume atarajia kuoa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
Msichana Aliebadili Jinsia Kuwa Ya Kiume Atarajia Kuoa


Kieran Moloney Kwa Sasa Ni Mvulana Ambae Hapo Awali Alikuwa Msichana Aliejulikana Kwa Jina La Ciara ,Alipofika Umri Wa Kuanza Shule Ya Msingi Basi Ndipo Alipotamani Kuwa Mwanaume Na Hata Mama Yake Alipokuwa Akimvalisha Magauni Ilikuwa Inamkera Na Kudondosha Machozi.








 
HUYU ALIKUWA NI MVULANA TOKA ANAZALIWA. KAMA NI KWELI NA MADAKTAR HAO WALIMBADILISHA JINSIA WANSHINDWAJE KUMFANYA MWANAME ASIYEKUWA NA UWEZO WA KUJAMIANA NA MWANAMKE AWEZE? NINA WASIWASI KUWA ALIKUWA NA JINSIA MBILI WAKAUA ILE INGINE WAKABAKIZA YA KIUME
Uko sahihi. Huyu lazima ni XY kinasaba (masculine genetically). Inawezekana alizaliwa na ambigious sex organs na madaktari wakazirekebisha hizo sex organs zake tata kama ulivyoeleza. Lakini pia inawezekana alikuwa na testosterone insestivity syndrome au kwa jina la zamani Klifeters syndrome) na madaktari wakamrekebisha kihomoni na kumtengenezea phalous ( uume) bandia by reconstructive plastic surgery. Tatizo litabaki kuwa hatakuwa na uwezo wa kuzalisha mwanamuke kama atakuwa ni Kliniferters syndrome aliyetengenezewa uume bandia. Hata angeendelea na hiyo phenotype yake ya kike bado hangeweza kuzaa.

Hakuna maajabu wala uchawi wo wote hapa bali ni sayansi tu mbele kwa mbele. Bahati nzuri kwa mara ya kwanza tumepata rais ambaye ni mwanasayansi na tunatarajia mambo kama haya jamii yetu itakuwa na ufahamu nayo baada ya kurekebisha mfumo wa elimu nchini na kutoa kipaumbele wa masomo ya sayansi.
 
Mizungu buanaa. Ahgrrrr. Ni mwezi ujao tu, utasikia kuwa, wale maharusi waliooana sasa wana mume mmoja na amewapandikiza mbegu wote wawili. Uchafuuuu sana tu. Mola atunusuru tu
 
Hii ni changamoto kwa wanaume ambao tutaoa baadaye. Unaweza dhani umeoa Valentina Mbugua, kumbe alizaliwa Valentino.

Like plastic and cosmetic surgeries weren't enough to freak us out, damn!
 
Sijaelewa bado, ufafanuzi unahitajika. Akili yangu ni ngumu kunasa.
 
Back
Top Bottom