Hapo nadhani si sahihi...wanatoa na kuteketeza maisha ya watu needlessly!
Hawawezi kuyachukua ni Mungu tu anachukua roho zetu.
Ujambazi kwa sasa unatisha jamani..... ukikutana nao wape kila wanachotaka fasta ili wakuache na maisha yako ..ukikawia nao wanaingiwa na woga na kushambulia hadi kusababisha kifo.
Polisi jamii sijui ina maana gani iwapo majambazi wanafunga hadi mtaa mzima katika harakati za kupora. Polisi mko wapi wakati tunajua mmeboreshewa sana mazingira ya kufanyia kazi ikiwemo vifaa na mafunzo ya mbinu za kisasa ku deal na uhalifu.
Poleni sana wafiwa. Jamani hii hali inabidi iwe addressed. Maana kila siku wanajiokotea tu na kumaliza watu kama sungura ama digidigi. Nafikiri serikali sasa itangaze kuwa Silaha ziuzwe sokoni ila kkila mtu awe nayo, inatisha unapovamiwa na kujikuta unajikunyata kama panya anaekodolowa na jipaka kubwa!! nothing to do. Vingenevyo serikali iandae mkakati mahsusi wa kunusuru raia wema. Kila siku taarifa zinafanana.