Msiba

Msiba

Pole sana maisha haya MUNGU yu mwema atawatia nguvuR.I.P baba yetu
 
Poleni sana kwa Msiba wa baba. Mungu ampumzishe mahala pema.
 
ahsante sana mkuu, msiba upo Tegeta( dar es salaam) nitakujulisha utaratibu mkuu
Ni huu niliohudhuria mazishi jana wa mzee Mapunda aliyekuwa posta na simu zamani hizo? Poleni sana wafiwa. Tuko pamoja kwenye kipindi hiki kigumu cha majonzi.
 
Pole sana kaka sote tunaelekea hukohuko kikubwa ni kuongeza imani kiuwa tutaonana katika ufufuo ktk paradiso ya milele!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ni huu niliohudhuria mazishi jana wa mzee Mapunda aliyekuwa posta na simu zamani hizo? Poleni sana wafiwa. Tuko pamoja kwenye kipindi hiki kigumu cha majonzi.

hapana mkuu mzee anaitwa Thobias mlowa, ni tegeta maeneo ya msikitini, ila ahsante sana mkuu
 
Raha ya milele umpe... Ee bwana,

Na mwanga wa milele umwangazie!

Apumzike kwa amani.....!
 
Back
Top Bottom