Msiba

Msiba

Poleni wafiwa, MUNGU kampenda zaidi na awape moyo wa uvumilivu kwa msiba huo
 
Pole sana v4c and family pamoja na wote walioguswa na msiba huo....!!!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mungu akutie nguvu na moyo wa uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu.
 
jipe moyo ndugu ndio safari ya kila mwanadamu
 
Pole sana mkuu!

Mungu Amweke baba mahali pema, na awafunike kwa faraja yake ya kweli.
 
Bwana ametoa, Bwana ametwaa.

Jina lake lihimidiwe.

POleni sana wafiwa.
 
Poleni sana Mkuu...Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu kwenu~AMEN
 
poleni sana wanafamilia, tuko pamoja nanyi katika kipindi hiki kugumu kwenu.
 
Poleni sana wandugu . hapa hatuna mji udumuo twautafuta ule ujao . R.i.p baba.
 
pole mkuu,Mungu awatie nguvu wakati huu mgumu.!!
 
Pole sana ndugu yetu,mungu akutie nguvu na pia R.I.P babu!
 
Back
Top Bottom