KWANINI HII IMEWEKWA CHIT-CHAT?..Ni michapo hii?...my gooosh!
Naamini huyu marehemu alipata kusikia au kusoma kitu kinachohusiana na Jamiiforums, na kwa maana hiyo ni mtu wetu sana!
Naamini pia kuwa Mungu amemwandalia makao yaliyo bora, na atampumzisha na taabu za dunia hii chungu!
RIP.