Penguinelli Cactussini
Member
- May 23, 2022
- 92
- 339
Siku nyingi nimekuwa nikiandika PUMBA TUPU ila leo niko more cooperate kwa HILI, pumba nita post mwishoni....
Si umesikia ile stori ya dogo aliyejiua baada ya ku chat na gpt? Ushasikiaga yule mtoto wa miaka 11 aliyekufa wakati anashiriki challenge ya TikTok ile ya kubana pumzi?
Ok, unamkumbuka yule boy aliyejiua naye baada ya ku chat na bot kama mpenzi wake vile na wakaweka hadi miadi ya kukutana ili kuijaza dunia?
Stori zote hapo ni za kweli na zimeleta misiba na niko hapa kutangaza TANZIA.
Ninawaza sana siku moja niwe nazunguka kama tiara shuleni, vyuoni, kanisani na kila kwenye mkusanyiko wa watu ili kutoa elimu ni kwa jinsi gani mitandao ya kijamii inaweza kuathiri akili ya mtoto wako katika ukuaji wake.
Hoja yangu ya kuwalinda watoto dhidi ya maudhui yasofaa ni pana sana maana inaweza kufika kuanzia shuleni wanajifunza nini, nyumbani wanatazama au kusikiliza nini, mtaani wanaishi na kucheza na akina nani na pia kwenye mitandao ya kijamii wanaona nini? nk.
Ninaruka zote ninajikita kwenye mitandao ya kijamii.
Facebook imekumbwa na tatizo kubwa sababu wameshindwa kudhibiti zile links zenye thumbnails za pornography na hii imepelekea watu wote waangaliaji porno na wasioangalia kuziona.
Sitajikita kwenye effects zake ikiwa uta click zile porn links kwenye Facebook ila niaangazia hili.....
Wazazi wengi wanawapatia watoto wao simu wazichezee na mara nyingi inatumika kama njia ya kufanya wanyamaze kulia au wale chakula.
Si vyema kumzoesha mtoto kuwa pasi na kumpatia simu atasusa kula au ndio ataendelea kulia.
Hata hivyo, kama mtoto anapenda kulia na haumwi wala hana shida yoyote wewe muache alie tu pengine ni njia ya kutanua mapafu awe mwimbaji mzuri baadaye nani ajuaye atakuwa Celine Dion wetu? 😂
Achana na hilo,
Tunashuhudia Facebook si salama tena maana kwa namna yoyote mtoto anaweza kuona maudhui yasiyofaa na yakamharibu akili kabisa kitu ambacho hata wewe mzazi usingependa mwanao ayaone.
Vipi kama mtoto wako akaanza zile challenge za Bonge la nani full kunengua kama Pypi Tide inafurahisha? Au zile live za kuonyeshwa mizagameuanor TikTok?
Bila shaka usingependa hilo litokee sasa basi.
- Mzazi unawajibu wa kumkataza house girl wako kutumia simu yake akiwa na mwanao maana hujui ni mambo gani huyo house girl huwa anatazama na mwanao wakati huo.
- Mzazi uhakikishe mtoto wako haizoei simu yako kwa namna yoyote ile. In fact, si malezi mazuri na hata hizo katuni nyingi ni za watu wazima na zinaweza kumharibu mtoto wako.
Ushauri wangu kwako,
Ewe mzazi unayelea pweke (single mom or single dad) ama mzazi mwenye mwenza wako nuieni kwa pamoja kumlinda huyo mjomba wangu dhidi ya maudhui ya hovyo yaliyoko mtandaoni au mitaani.
Vipi siku mtoto wako wa kiume akawa top fan wa yule anko Chai na akawa anaishi kwa pigo zile za akina low cool lay. Itasikitisha si ndio?
Mitandao imekuwa na maudhui mabaya (si yote) na bad luck wazazi hawawezi tena kuidhibiti kwa kutumia zile parental controls zilizopo maana wenyewe elimu hawana.
So, weka mitandao mbali na watoto wako ili kitoto kisije kukusumbua kikianza balehe.
Siku niipata platform nitajitahidi kueneza elimu ili wazazi waongoke na watoto wabadilike.
Swali la msingi:
Kwanini hujaanza kuzunguka na kutoa hiyo elimu unayosema?
Jibu:
Jitihada hazizidi maokoto