Msiba wa Prof Samuel Steven Mushi

Huyu ni baba yake Susan Mzee aliyepo UK.Pole Susan,mdogo wako Charles pamoja na wanafamilia wote.He was a great person.We will definetly miss him.
RIP Professor Samuel Mushi.

Ni Mushi yupi Mkuu yule alikuwa na Afro?
 
Duh! Jamaa alinifundisha Public Policy pale UDSM, alikuwa jembe haswa though anakamata kweli. May his soul rest in peace. Amen!
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Ndugu wana Jf,habari iliyopatikana punde tu kupitia Tbc1 habari saa mbili hii ni kwamba Prof Samuel Mushi aliekua akifundisha UDSM amefariki dunia leo hii ghafla: Source: Tbc1 habari
 
Ndugu wana Jf,habari iliyopatikana punde tu kupitia Tbc1 habari saa mbili hii ni kwamba Prof Samuel Mushi aliekua akifundisha UDSM amefariki dunia leo hii ghafla: Source: Tbc1 habari
Mungu amlaze mahali pema peponi
 
Mungu ailaze mahala pema peponi roho yake nawapa pole sana watoto wake popote mlipo huko London na wakazi wote wa victoria house.
 

Ni Mushi yupi Mkuu yule alikuwa na Afro?
Alikuwa Professor mkuu hapo Mlimani.Alikuwa na upara.Huyo mwenye Afro ni mwingine na simfahamu.Labda utaje the first name kama hukumaanisha kejeli msibani.
 
Poleni sala ndugu na jamaa wa Prof. Mushi na watz wote kwa ujumla!
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi!
Amin!!!
 
Poleni wanataaluma wote bila kuwasahau wanafamilia, ndugu jamaa na marafiki. Bwana alitoa Bwana ametwaa.
 
A sad day indeed, may God repose his soul in eternal peace, comfort the mourning friends and families. RIP.
 
"ni vema wote walio serikalini kupitia chama chake Rostam "CCM" pia wakajivua gamba-Nayakumbuka maneno yake siku chache zilizopita Tbc1. Umeondoka kipindi ambacho busara yako inahitajika sana , R.I.P Prof. Mushi, Poleni sana wafiwa.
 
Back
Top Bottom