Msiba ushaisha hebu Tujadilini mambo mengine sasa!

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,416
6,578
kwa takribani siku nne mfululizo kila mtu anazungumza habari za kifo cha Kanumba ki ukweli inauma ila ndo yashatokea na tushamzika leo basi hatuna budi kuwaachia wanafamilia waendelee na msiba wa mpendwa wao na sisi tuendelee na shughuli zetu za kila siku!
 
nilisha sahau wewe ndio umenikumbusha aaaagh!
 
Back
Top Bottom