Msiba Unapogeuka Kuwa Sherehe

Mmmm Ndalo mbona jeneza halina kitu hilo? au show?
 
Last edited by a moderator:
Kuna nchi nyingine Africa katika mila na tamaduni zao huwa mtoto akizaliwa basi wao wanakesha wiki kwakulia kwakua wanaamini aliyezaliwa kaja kuishi na kupata matatizo! lakini akifa basi watu wanaserebuka kwakuamini huo ndio mwisho wamatatizo na umekwenda kupunzika.
 
Misiba mingi ni sherehe,
Pombe, Chakula, Maji, soda nk.​


Tofauti na hao ni kuwa wao wanacheza wakiwa wamebeba jeneza
 

wiki nzima kwa kulia???? Ndalo! :nimekataa, inawezekana vipi??? wakilala, wakiamka wanaanza kulia, wakifanya shughuli za siku wanalia, mmmmm sipati picha kabisa
 
huu sio ule msiba wa mama yao na kina P Square........? ila sidhani kama walikuwa wanacheza.....walikuwa na majonzi hivi wangeweza kweli...?
 
Usiniambie kuwa hao wamekodishwa ili waje toe show.....
 
Mbon hapa Bongo watu wanakodishwa kwenye misiba kwaajili ya kulia tu na wanaingiza chapaa!
 

Oyaaaa, mkuu hiyo wapi hiyo kitu kama hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…