Mmmm Ndalo mbona jeneza halina kitu hilo? au show?
Kuna nchi nyingine Africa katika mila na tamaduni zao huwa mtoto akizaliwa basi wao wanakesha wiki kwakulia kwakua wanaamini aliyezaliwa kaja kuishi na kupata matatizo! lakini akifa basi watu wanaserebuka kwakuamini huo ndio mwisho wamatatizo na umekwenda kupunzika.