Msiba siku ya Ndoa

Msiba siku ya Ndoa

kuna mdada this saturday alikua anaolewa amekufa kwa pumu ijumaa,jumamosi kitchen party

Bila shaka unamuongelea huyu hapa? Halafu wewe Facebook ni rafiki yangu hapa unajikausha tu!!
 
Attachments

  • 1412656580729.jpg
    1412656580729.jpg
    27 KB · Views: 189
Ngao 5 za lucifer/shetani
.uganga
.uchawi
.mila na desturi
.dini
.wasoma nyota &wapunga pepo!

Kipengele cha mila na desturi kinafanya kazi effectively kupitia Maagano!
Hapa ndo wengi wanaangamia bila kujua kwenye koo zao kuna maagano yaliwekwa huko nyuma ambayo effect yake ipo from 1generation to another. ..
Biblia inasema ' nitawapatiliza wana maovu ya baba zao tangu kizazi cha kwanz, cha pili, cha tatu mpaka cha nne '.

Means, agano alilofanya babu yako linaku affect ww na ht uzao wako mpaka litakapovunjwa!

Sio wote ambao wanapata misiba inakua hivyo ....

bt kuna ambao ni hivyo coz miungu isipoabudiwa au kupewa sadaka km matambiko na kafara za wanyama (damu) huwa inatoa adhabu pia coz unaenda kinyume na maagano.....

Mfano labda ukoo fulani uliweka agano hakuna kuoa/kuolewa nje ya kabila lao ww ukajifanya digital ukakataa kufuata lzm yakufike ss inategemea adhabu iliyokuwa imependekezwa wakati agano linafanywa.....
Wasimamuzi wa haua maagano ya koo/familia ni mizimu (miungu ya familia )

Cjui km nimeeleweka kidogo charminglady
 
Last edited by a moderator:

HAPO KWENYE BLUE HAYA MAMBO YAPO KABISA ILA WATOTO WA DIGITAL HAPA WANABISHA kama nini..... Mamie hebu fafanua hapo kwenye RED
 
HAPO KWENYE BLUE HAYA MAMBO YAPO KABISA ILA WATOTO WA DIGITAL HAPA WANABISHA kama nini..... Mamie hebu fafanua hapo kwenye RED

Yes wanabisha coz wamefungwa ufahamu, hawaelewi kinachoendelea ndio maana ni ngumu mtu kukuelewa ukimwambia mila na desturi ni eneo mojawapo ambalo shetani analitumia!

Oryt.....Dini, hapa nitaongelea sisi wakristo!
Ngoja nijitahidi maana hili somo refu na lipo deep sn....

Shetani anatumia kipengele hiki vzr sn na ndo maana kuna watu badala ya kumwabudu/kumwamini Mungu wenyewe wameshika dini/dhehebu akiamini yupo sahihi kiimani.

Unakuta mtu yy ameshika dini/dhehebu na anafuata sheria za dini/dhehebu lkn ukimwambia mambo ya neno hakuelewi kabisa ila dhehebu ni sawa.
Na hii wakristo imeatuharibu sn....ndo maana ht watumishi unakuta hawapendani kazi kusemanana/kupondana wakat biblia inasema ' tu viungo tunajenga mwili 1 wa kristo Yesu ambae ndie msingi'....na ukisha ona hivyo ujue watumishi wamebeba roho 2 tofauti, mwingine ya nuru na . mwingine ya giza (shetani) kwahyo zinakuwa zinapingana kwasbb nuru na giza havikai pamoja!.

Na hapa ndo tunapata makanisa ambayo ni fake na wachungaji fake wanaotumia nguvu za giza kwenye haya haya madhehebu yetu tunayoyaamini...

Kumbuka biblia inasema (Yesu ndo alikuwa anaongea)' tazama saa ipo nayo yaja waabudio Baba watamwabudu katika roho na kweli kwa maana Mungu ni Roho na wamuabudio yawapasa wamuabudu ktk roho'(sikumbuki vzr ni mathayo ngapi najua umenielewa hapa)

Sasa basi unajua kuhusu viti vya enzi?(Mungu ana kiti chake cha enzi na shetani nae anacho)
Kiti cha enzi ni nafasi ya utawala iliyo katika ulimwengu wa roho ambayo ina mamlaka juu ya uelekeo wa watu.

Kanisani kwenye kiti cha enzi tunategemea awe amekaa Mungu aliye hai lkn utakubaliana na mimi kuwa kuna makanisa ambayo kwenye kiti cha enzi amekaa shetani!

Na kumbuka kiti cha enzi ndo kina mamlaka ya kutoa maelekezo ya eneo/kanisa husika ya nn cha kufanya!
Ss km kwenye kiti cha enzi amekaa shetani tegemea hao wanaosali/kuabudu mahali hapo wanamuabudu shetani kupitia kipengele hiki cha dini bila wao kujua na ndo maana SIO KILA DHEHEBU/KANISA NI MAHALI SAHIHI PA KUMWABUDU MUNGU
COZ MADHABAHU NYINGINE NI ZA SHETANI

Sijui nimeeleweka charminglady
 
Last edited by a moderator:
yaani kama mimi ndo kwanza nasikia leo kuwa hiyo hali inaweza ikaashiria kitu......

me ndo kwanza nimejua leo kwamba kuna kitu kama hicho huwa kinatokea, manake alipoolewa dada yangu, nikafata mimi then mdogo wangu hakukuwa nakitu kama hicho
 
Bila shaka unamuongelea huyu hapa? Halafu wewe Facebook ni rafiki yangu hapa unajikausha tu!!

yap ndo yeye huyoo yaani hadi nimelia
umenchekesha ulivyosema facebook rafki yako
 
Haya mambo yapo sana katika jamii,si vifo vyote vyatokana na Mungu, kama jinsi Mungu alivyo kazini hivyohivyo na shetani yupo kazini ni kama simba aungurumaye akitafuta mtu wa kummeza lakini ashukuriwe Mungu ambaye kupitia Yesu anasema nalikuja muwe na uzima kisha muwe nao tele(Yohana 10:10).

Shukrani kwa christine ibrahim amefafanua vizuri sana,na kwa nyongeza na wakati mwingine si mambo ya kimila inaweza ikatokea tu mtu amekuonea uwivu kwa hatua uliyopiga sasa anaamua kukumaliza kwa njia ya uchawi,au pengine muhusika aliiba mtu wa mtu sasa mwenye mali yake akaamua kulipiza kisasi kwa kuua kwa nguvu za giza. Dawa pekee ya uchawi na uganga ni Mungu tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom