Watu wanajali sana mali(vitu) kuliko utu, ninavyojua mimi mama wa kweli yuko tayari yeye apoteze maisha au aumie lakini mtoto wake awe salamaStori yako inatufundisha nn?
Hii Mamndenyi umekosea sana, ungeiuza kwenye magazeti ya udaku ungeshamalizia kile kibanda chako kule Kibaha.
Naanza kupata wasiwasi kama wewe ni Mchaga kweli.
Aisee umeshaharibu dili, maana wadaku wameshakuwahi na sasa timu yao iko eneo la tukio wanakusanya habari. Yaani kwa kupitia chanzo chako hiki watu wanajitengenezea mkwanja kiulainiiii...... LOL
yeleuwiii jamani mtoto... house gilr aliogopa kukatwa mshahara vyombo vikiungua.. kwa sababu akipasua sahani au kikombe imekula kwake
Una akili sana wewe anti yangu
hata jana pale chachi kwetu wameyasema haya
yakuwakata hawa watu mishahara.
Bora angekubali kukatwa kuliko msiba ambao umeleta hasara mara tatu, (i)uhai wa mtu hauwezi rudishwayeleuwiii jamani mtoto... house gilr aliogopa kukatwa mshahara vyombo vikiungua.. kwa sababu akipasua sahani au kikombe imekula kwake
so SAD...yani huyo hg sijui ningemfanyaje sijui
lazima ujue mkuu ukifanya kosa moja jua unamakosa mia mbele yako usipokuwa makini...... yeye alikuwa anaokoa mali za bosi wake asikatwe mshahara kwa sababu angeweza afanye kazi mwaka mzima bila kulipwa,... mmi naona house girl kafanya kilichokuwa sahihi kabisa... huyo mama angemtengenezea mazingira ya kumjali mtoto kuliko mali zake sidhani kama angeweza fanya hiyo mistake kabisa... aliwekewa mazingira ya kujali mali kuliko utu na ndo amefanya implementation sasa hapa mabosi wa nyumbani tujifunze kwa kweli msitengenezee watumwa wenu mazingira ya woga.... wafundishwe zaidi utuBora angekubali kukatwa kuliko msiba ambao umeleta hasara mara tatu, (i)uhai wa mtu hauwezi rudishwa
(ii)nyumba nayo imeteketea
(iii)baba mwenye nyumba ameenda lupango