Mshtuko!!christmas yasogezwa mbele

Pure nomaa

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
1,158
1,381
Wakati watanzania wengi wakijiandaa kusheherekea sikukuu ya x mass siku ya leo kuna taarifa zimetoka zinazosema kuwa x mass imesogezwa mbele kutokana na wenzetu kukumbwa na mafuriko so tutatangaziwa siku nyingine ya kusheherekea x mas ila kwa nchi nyingine ipo kama kawaida.

SOURCE
JOKES FM
merry x mas all members wa JF
 
Maafa ni mipango ya Mungu au ni majanga ya kiasilia, lakini CHRISTMASS ni utapele wa watu wanaojiita wakristo wakati ni wapagani tu. WIZI TU, NA NI KAWAIDA ZA WANADAMU SI ZA MUNGU

IN SHORT KATIKA KUMTAMFUTA MUNGU WA KWELI ALIYE HAI, HAKUNA KITU KIITWACHO CHRISTMASS
 
... Mmmmmmmmmmmmmmh ! Naona nyota,nyota!
 
Ni Kweli Chrismass ni ya Wapagani... ihairishwe tuendelee kuomboleza vifo vya wapendwa wetu waliokuwa wanaishi sehemu zisizo salama za mabondeni hii ya Yesu imetungwa na wapagani
 
Back
Top Bottom