Mshindi wa BET best international act, Africa ni Black coffee wa South Africa

Mkuu huyu wizkid anaakili sana mkwanja anaopiga angekuwa ndio diamond sijui angejisifia kiasi gan
Kweli Mkuu, ingekuwa ndo Diamond hapo; angekuwa angekuwa kama huyu jamaa hapa chini:
Screenshot_2016-06-26-09-48-40.png

Screenshot_2016-06-26-08-54-45.png
 
No mwaka jana eddy kenzo alishinda tuzo ya bet people's choice awards kura zilikuwa zinapigwa insta best international act africa alichukua stone bwoi toka ghana aliwakalisha wiz kid, yemi alade, sarkodie na aka
bet siwaelewi
 
watu inabidi wakae waelewe kuwa mziki wa bongo kwa Africa bado mchanga...sisi bado tuko kwenye zama za kutembelea single moja miezi 6....black coffee ana album km 5 haijalishi tunamjua au lah maana ht wasanii wengine wakubwa wa nje wengi wetu hatuwajui zaidi ya wale wanaotoka america....type ya muziki anayoimba kwa watanzania kumjua ni kitendawili ila kwa judges wa BET sidhani km ni kitendawili,...ukiangalia wengine kwenye kategory wana discograph ya kueleweka recent wana album sokoni, Wizkid ana ayo album inafanya vizuri, cassper ana album alitoa mwaka jana, yemi alade ana album alitoa mwaka huu, aka ana album...hao wote wana album amabazo wameuza km international artist sio local artists. Wasanii wetu japo wanahisi washafika level ya kimataifa ila kwa judge yyt ambae hawajui hawezi kuwaweka km international artists bali underground kimataifa japo mashabiki wa kibongo tunajua sana kuhype kwenye mitandao kuanzia diamond hadi alikiba fans....Mfano Chris Brown pamoja na ukubwa wake kimuziki habweteki kwa miaka miwili tu ambazo ndugu zetu diamond na alikiba (japo hahusiki na thread ila watu humleta kila akitajwa diamond) wanahangaika na nyimbo official zisizozidi 6, Chris ana album 2 X(2014) na Royalty (2015) na mwaka huu anatoa album nyingine heartbreak of full moon bila kusahau mixtapes kibao

MY TAKE: fans wa bongo fleva kabla ya kwenda kutoa matusi kwenye page za watoa tuzo za kimataifa ni vyema tukajiuliza wasanii wetu wanafanya nn cha maana (zaidi ya shooting za SA ) kuweza kuleta ushindani kwa watu walio serious na kazi zao za sanaa?
 
watu inabidi wakae waelewe kuwa mziki wa bongo kwa Africa bado mchanga...sisi bado tuko kwenye zama za kutembelea single moja miezi 6....black coffee ana album km 5 haijalishi tunamjua au lah maana ht wasanii wengine wakubwa wa nje wengi wetu hatuwajui zaidi ya wale wanaotoka america....type ya muziki anayoimba kwa watanzania kumjua ni kitendawili ila kwa judges wa BET sidhani km ni kitendawili,...ukiangalia wengine kwenye kategory wana discograph ya kueleweka recent wana album sokoni, Wizkid ana ayo album inafanya vizuri, cassper ana album alitoa mwaka jana, yemi alade ana album alitoa mwaka huu, aka ana album...hao wote wana album amabazo wameuza km international artist sio local artists. Wasanii wetu japo wanahisi washafika level ya kimataifa ila kwa judge yyt amabae hawajui hawezi kuwaweka km international artists bali underground kimataifa japo mashabiki wa kibongo tunajua sana kuhype kwenye mitandao kuanzia diamond hadi alikiba fans....Mfano Chris Brown pamoja na ukubwa wake kimuziki habweteki kwa miaka miwili tu ambazo ndugu zetu diamond na alikiba (japo hahusiki na thread ila watu humleta kila akitajwa diamond) wanahangaika na nyimbo official zisizozidi 6, Chris ana album 2 X(2014) na Royalty (2015) na mwaka huu anatoa album nyingine heartbreak of full moon bila kusahau mixtapes kibao

MY TAKE: fans wa bongo fleva kabla ya kwenda kutoa matusi kwenye page za watoa tuzo za kimataifa ni vyema tukajiuliza wasanii wetu wanafanya nn cha maana (zaidi ya shooting za SA ) kuweza kuleta ushindani kwa watu walio serious na kazi zao za sanaa?
shut up nigga!
too much noise...
 
Mbona anasikika sema drake hajampa nafac ya kuimba sana r kelly alivyompaga wiz kid sema jamaa now yupo next level anangoma yke ya chris brown kuna nyimbo kashirikishwa na tennie temper wa u.k, na kuna nyingine kashirikshwa na major razor
Ile Nyimbo Ina Version Kama Tatu Au Zaidi Hv Ila Mi Nimeskia Tatu Kuna Moja Ina Brige Ya Dem,,,kuna Moja Ina Bridge Ya Wiz Kuna Moja Haina Bridge Kabisaa,,,nadhan Ulini Mis~understand Im Nt Taking Anythn Away From Wizkidayo He Is For Sure The Best In The Business Right Now Period,,,,diamond Tunampenda Na Hatutaacha Kumpenda He Put Us On The Map Ila Wizkidayo Is Next Level Ryt Nw ,,,,,yaagaaa
 
Hakuna msanii anayechukua tuzo kila mwaka; na kwa BET, vigezo wanavifahamu wenyewe ndo maana 50 Cent aliwatukana! Bado Chibu anashikilia MTV kwahiyo hadi sasa tuzo za kimataifa kwa msimu huu unazo na hizi za BET sie wengine ndo maana tulikuwa wala hatuhangaiki nazo kama ambavyo hivi Sasa Wanaija wasivyohangaika nazo-- in short, Wanaija wamezisusa BET Awards ki utuzima!

Kama mlikua mnayajua yote haya kuhusu BET sasa zile vurumai za kuomba kura zilikua za nini?na je mwakilishi wetu angeshinda mngeyasema haya?tatizo tunaamini kua msanii wetu anajulikana kote kama ambavyo hamtumjui Black Coffee basi wapo waliokua wanajiuliza uyu Diamond kaimba nyimbo gani.
Bado nampongeza StarBoy kwa kubeza BET Awards maana hakijishughulisha nazo kabisaaa kwa kua zina ubata kibao kama na Diamond angepiga kimya pia na mkaja na maelezo kama yako ningewaelewa ila na party iliandaliwa incase tukirudi na award mkononi na ukumbini walienda iweje muanze na sizitaki mbichi hizi.
Kushindwa au kushinda nawaomba mjue ratiba ya Diamond ni lini anarudi mjazane pale airport kumpokea huo ndio UZALENDO,umu ndani siku za nyuma mmetukana sana kisa mtu akisema Diamond hawezi kupata hii tunzo mkatoa na vigezo vyenu lukuki leo tunalia kimya kimya ila kwa kumfanya msanii wetu awe bora zaidi tukubali kukosolewa tatizo team ya Diamond haitaki kuambiwa udhaifu hapo lazima matusi yamwagike.
 
Ile Nyimbo Ina Version Kama Tatu Au Zaidi Hv Ila Mi Nimeskia Tatu Kuna Moja Ina Brige Ya Dem,,,kuna Moja Ina Bridge Ya Wiz Kuna Moja Haina Bridge Kabisaa,,,nadhan Ulini Mis~understand Im Nt Taking Anythn Away From Wizkidayo He Is For Sure The Best In The Business Right Now Period,,,,diamond Tunampenda Na Hatutaacha Kumpenda He Put Us On The Map Ila Wizkidayo Is Next Level Ryt Nw ,,,,,yaagaaa
ila official version n ile yupo drake, wiz kid n huyo demu kyll na ndo ipo kwny charts za billboard
 
Kama mlikua mnayajua yote haya kuhusu BET sasa zile vurumai za kuomba kura zilikua za nini?na je mwakilishi wetu angeshinda mngeyasema haya?tatizo tunaamini kua msanii wetu anajulikana kote kama ambavyo hamtumjui Black Coffee basi wapo waliokua wanajiuliza uyu Diamond kaimba nyimbo gani.
Bado nampongeza StarBoy kwa kubeza BET Awards maana hakijishughulisha nazo kabisaaa kwa kua zina ubata kibao kama na Diamond angepiga kimya pia na mkaja na maelezo kama yako ningewaelewa ila na party iliandaliwa incase tukirudi na award mkononi na ukumbini walienda iweje muanze na sizitaki mbichi hizi.
Kushindwa au kushinda nawaomba mjue ratiba ya Diamond ni lini anarudi mjazane pale airport kumpokea huo ndio UZALENDO,umu ndani siku za nyuma mmetukana sana kisa mtu akisema Diamond hawezi kupata hii tunzo mkatoa na vigezo vyenu lukuki leo tunalia kimya kimya ila kwa kumfanya msanii wetu awe bora zaidi tukubali kukosolewa tatizo team ya Diamond haitaki kuambiwa udhaifu hapo lazima matusi yamwagike.
Post ndeeefu lakini ni irrelevant na nilichokiandika!!

Suala la hakuna msanii anayechukua tuzo kila mwaka linahusiana vp na kuomba kura?

Btw; nimesema wazi "hizi za BETsie wengine ndo maana tulikuwa hatuhangaiki..!" Hivi hiyo kauli peke yake haikutosha kukujuza kwamba uliyoandika kwangu ni irrelevant kv hata kujishughulisha na hizi tuzo sikujishughulisha?!

Unadai eti "tunadhani Msanii wetu anajulikana kote huko!" Unataka kusema Diamond aliyeshinda MTV na huyu ni Diamond wawili tofauti?

Ningekushauri responding yako iwe case for case basis! Mambo mnacharuana na wengine huko kisha unakuja kujulisha na kila mtu inaonesha haupo makini especially hoja zako unapoziingiza pasipohusika!
 
Back
Top Bottom