Mshindi wa BET best international act, Africa ni Black coffee wa South Africa

Unajua watu wengi kama kitu/mtu hawamjui basi wanamuona mtu huyo au hicho kitu sio muhimu ambapo sio kweli.

Hauwezi hata kidogo kufananisha international influence ya diamond na ya dj black coffee, black coffee ana play party za Ibiza spain, Miami ambazo zipo sold out btw diddy alimuomba black coffee to be on tha decks on his bday party, ukiacha SA black coffee anajulikana zaidi europe na americas kuliko Africa.
“One person's fact is another person's noise.” IQ differ :)
 
Wa Dar katika ubora
Jibu swali manake watu hamuishi viroja! Utasikia "jamaa ana nyodo, mara hivi mara vile!" wakati mtu mwenyewe humjui zaidi ya kumuona kwenye tv... na wala hakujui japo kwa jina! Sasa hapo watu huwa ndo tunashangaa-- mtu hakujui, humjui... hizo nyodo mnazionea wapi?! Ingekuwa mshikaji wako, tungesema mki-meet au akikuvutia waya; full shobo! Au ingekuwa ni jirani yako tungesema unaziona shobo zake live... cha ajabu, neither of that!
 
Ifike kipindi B.E.T waseme kigezo chao sasa... mwaka jana there was no way eddy kenzo aliwashinda wizkid, diamond na Davido... mwaka huu wanakuja tena kahawa nyeusi.. huku afrika ni less popular hata ngoma zake hazijulikani.....

sio kila mwaka Chibu atakuwa on fire........ haiwezekani kabisa tukashindwa mwaka jana na mwaka huu
 
Hivi ni kweli uwezo wa Diamond kimuziki ni wa kuwashinda kina TECNO au PATORANKING..??? Mbona kama kuna kabiashara flani hivi kanafanyika huko MTV jamanii...!!!
 
Tatizo la dai ni kadharau Fulani hivi;
tuzo ile tulipiga kura kwa nguvu zote;
anashindwa hata kuingia hapa facebuku just to
thank.
 
Unajua watu wengi kama kitu/mtu hawamjui basi wanamuona mtu huyo au hicho kitu sio muhimu ambapo sio kweli.

Hauwezi hata kidogo kufananisha international influence ya diamond na ya dj black coffee, black coffee ana play party za Ibiza spain, Miami ambazo zipo sold out btw diddy alimuomba black coffee to be on tha decks on his bday party, ukiacha SA black coffee anajulikana zaidi europe na americas kuliko Africa.
nafikiri hicho ndo kigezo
ilipasa wampe tuzo ya heshima
sio zile
wazungu wanaangalia mtu katoboa mpka ulaya
kama kiafrica zaidi inaonekana hawakupi
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom