Mshindi wa BET best international act, Africa ni Black coffee wa South Africa

Hakuna msanii anayechukua tuzo kila mwaka; na kwa BET, vigezo wanavifahamu wenyewe ndo maana 50 Cent aliwatukana! Bado Chibu anashikilia MTV kwahiyo hadi sasa tuzo za kimataifa kwa msimu huu unazo na hizi za BET sie wengine ndo maana tulikuwa wala hatuhangaiki nazo kama ambavyo hivi Sasa Wanaija wasivyohangaika nazo-- in short, Wanaija wamezisusa BET Awards ki utuzima!
 
ila diamond mpaka kwenye program zake aliweka,hahahaha ila Dai nae kwa show off,na angeipata angelambisha watu ndimu,hahahhahaha,tifah minyota leo tungekoma
Hivi suala kuweka schedule nalo ni la kuponda?! Watanzania tubadilike na kufahamu mbinu za kibiashara!

Hakuna cha show off hapo; it's all about business na ndio maana atakuwekea schedule yake ndeeeeefu lakini chini ya hiyo program utakuta: FOR BOOKING... it's all about business!!!
 
Na UOTE="Big Tymers, post: 16643232, member: 372115"]Ali Kiba siku ambayo atakuwa nominated BET lzm achukue tunzo. Diamond mbwembwe tuu hakuna kitu[/QUOTE]
Na nyie muwe mnajisikia aibu basi. Huyo Ally Kiba hata Bujumbura hajukikani
 
Na UOTE="Big Tymers, post: 16643232, member: 372115"]Ali Kiba siku ambayo atakuwa nominated BET lzm achukue tunzo. Diamond mbwembwe tuu hakuna kitu
Na nyie muwe mnajisikia aibu basi. Huyo Ally Kiba hata Bujumbura hajukikani[/QUOTE]
UNA UHAKIKA ALIKIBA HAJURIKANI BUNJUMBURA? BASI KWA TAARIFA YAKO MUZIKI WA BONGO UNAPASUA ANGA NCHI KIBAO KWENYE MARADIO STATIONS KAMA ZAMBIA,MALAWI,MSUMBIJI,KENYA,RWANDA,BURUNDI,UGANDA NA CONGO
 
Diamond ameikosa tuzo ya Bet ambayo ia imechukuliwa na black coffee, Wema ameshauri Diamond aangalie na soko la dunia kuliko la nyumbani pekee
Wema bana! Ana ugonjwa uitwao diamondmania,mwishowe ni kufa ghafla
 
Pamoja na kutoa ngoma na papa wemba jamaa kaukalia? Uzuri BeT sio kilimanjaro ruge na tale hawakaribii box la kura.
 
Hakuna msanii anayechukua tuzo kila mwaka; na kwa BET, vigezo wanavifahamu wenyewe ndo maana 50 Cent aliwatukana! Bado Chibu anashikilia MTV kwahiyo hadi sasa tuzo za kimataifa kwa msimu huu unazo na hizi za BET sie wengine ndo maana tulikuwa wala hatuhangaiki nazo kama ambavyo hivi Sasa Wanaija wasivyohangaika nazo-- in short, Wanaija wamezisusa BET Awards ki utuzima!

Sizitaki mbichi hizi
 
Huyu Black cofee atakuja tz, na akija tz anakuja kutangaza mziki wake kama alivyo fanya davido na kupotea mazima! Diamond atafanya nae collab
 
Hakuna msanii anayechukua tuzo kila mwaka; na kwa BET, vigezo wanavifahamu wenyewe ndo maana 50 Cent aliwatukana! Bado Chibu anashikilia MTV kwahiyo hadi sasa tuzo za kimataifa kwa msimu huu unazo na hizi za BET sie wengine ndo maana tulikuwa wala hatuhangaiki nazo kama ambavyo hivi Sasa Wanaija wasivyohangaika nazo-- in short, Wanaija wamezisusa BET Awards ki utuzima!

Maneno ya mkosaji!
 
Maneno ya mkosaji!
Nimekosa nini?! Btw; nini nimeongea ambacho si cha kweli? Kwamba hakuna msanii awezae kubeba tuzo kila mwaka ni jambo geni kwako? Kwamba 50 Cent aliwatukana BET mwaka jana ni taarifa unayoisikia kwa mara ya kwanza hivi sasa?! Kwamba Chibu bado anashikilia tuzo za MTV ni taarifa ambayo hujawahi kuisikia? Kwamba hivi sasa Wanaija hawahangaiki na BET ni breaking news kwako?!
 
Na UOTE="Big Tymers, post: 16643232, member: 372115"]Ali Kiba siku ambayo atakuwa nominated BET lzm achukue tunzo. Diamond mbwembwe tuu hakuna kitu
Na nyie muwe mnajisikia aibu basi. Huyo Ally Kiba hata Bujumbura hajukikani[/QUOTE]
One 8
 
Back
Top Bottom