Mshindi wa BET best international act, Africa ni Black coffee wa South Africa

mkuu ishia hapohapo utaonekana mbaya, hakuna kama wiz africa, hashobokeagi tuzo hata iwe na jina vp haombi kura, madili anayopata angekuwa jirani yake davido au kijana wetu mondi hapa tusingekaa
aiseee
Kuna siku nilisema mimi...
Niliporomoshewa mitusi hatareeee
 
Wabongo ktk ubora wetu wa kuponda but bro diamond ur a winner for me, ila najiuliza vigezo gani hata wametumia nahisi sielewi, ila ndio maisha afocus ktk project zake za mbele Kuna siku mungu atamfikiria
Simple...hakuna category ya collabo
 
Back
Top Bottom