Mshindi wa BET best international act, Africa ni Black coffee wa South Africa

Mnaongeleaje Swala La Wiz Kufanywa Backsinger Na Drake,,,,halaf Bridge Yake Ngumu Kueleweka Haikuwekwa Kwenye American Version Ya Track Ya One Dance,,,na Hata Ambayo Inayo Hyo Bridge Inabidi Uwe Na Amplifier Tatu Na Headphone Latest Za Skullcandy Ndio Usikie,,,,kila Nkisikia Ile Track Namkumbuka Sana Dbanj
 
Ndo unataka kusemaje?
 
huyo kahawa nyeusi kaimba nini?halafu hawa BET africa kwa nini huwa hawapewi tuzo siku moja na kina Beyonce,Nick Minaji?huu ni ubaguzi wa weusi wa Africa na wa America.
 
hata mwaka jana walimpa eddy kenzo tukashangaa hivi hivi...
 
USA baby
upload_2016-6-25_16-8-41.png
upload_2016-6-25_16-8-43.png
upload_2016-6-25_16-8-45.png
upload_2016-6-25_16-8-46.png
upload_2016-6-25_16-8-47.png
upload_2016-6-25_16-8-48.png
 
Wabongo ktk ubora wetu wa kuponda but bro diamond ur a winner for me, ila najiuliza vigezo gani hata wametumia nahisi sielewi, ila ndio maisha afocus ktk project zake za mbele Kuna siku mungu atamfikiria
 
Mnaongeleaje Swala La Wiz Kufanywa Backsinger Na Drake,,,,halaf Bridge Yake Ngumu Kueleweka Haikuwekwa Kwenye American Version Ya Track Ya One Dance,,,na Hata Ambayo Inayo Hyo Bridge Inabidi Uwe Na Amplifier Tatu Na Headphone Latest Za Skullcandy Ndio Usikie,,,,kila Nkisikia Ile Track Namkumbuka Sana Dbanj
Mbona anasikika sema drake hajampa nafac ya kuimba sana r kelly alivyompaga wiz kid sema jamaa now yupo next level anangoma yke ya chris brown kuna nyimbo kashirikishwa na tennie temper wa u.k, na kuna nyingine kashirikshwa na major razor
 
mkuu ishia hapohapo utaonekana mbaya, hakuna kama wiz africa, hashobokeagi tuzo hata iwe na jina vp haombi kura, madili anayopata angekuwa jirani yake davido au kijana wetu mondi hapa tusingekaa
Kumbe Kiba na yeye amewaiga hao, hana promo wala nini, msije kulalamika Kiba anawaangusha
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom