Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
duh, hiyo saundi babu, kila mwezi uweke 20M ili kuifikisha hiyo 500m ndani ya miaka 2.
Sikulazimishi uamini
duh, hiyo saundi babu, kila mwezi uweke 20M ili kuifikisha hiyo 500m ndani ya miaka 2.
Kanunua gofu huko kwa matajiri. Hadi amalizie hiyo finishing atakuwa hana tena hata thumuni.
Kanunua gofu huko kwa matajiri. Hadi amalizie hiyo finishing atakuwa hana tena hata thumuni.
Jiangalie mwenyewe ww una nn sio unaangalia kibanzi ndani ya jicho la mwenzako wakati kwako kuna boritiMnamo tarehe 11.12.2014 Big Brother Africa ilipata mshindi mpya wa season 8, na mshindi hiyo alitokea Tanzania akijulikana kwa jina Idris Sultan. Mshindi alijishindia $ 300,000 takribani Million 500 za kibongo..
Tangia ametoka kwenye nyumba wengi walisubiri waone ni kipi atakifanya na hiyo pesa.. Lakini kijana kajibu mapigo, kaja na clothing line business.. Hii idea yake imebishangaza sana na ikabidi nijiulize maswali kadhaa;
1. Is his idea viable?? Yaani pamoja na kupata mkwanja mrefu hivo ameishia kufikiri that low....
2. Kuna clothing line (brand) yeyote ya Africa inayojulikana na yenye nguvu sokoni??
3. Mwaka jana mshiriki mwenzake Army Nando alivyotolewa pia alianzisha ya kwake, naweza kusema Nando alikuwa anapendwa na alikua na fans wengi kuliko Idris Lakini hizo T-shirt aliishia kuvaa mwenyewe na hiyo biashara yake haipo tena..
Watanzania lazima tujifunze kuwa creative na tufanye research kabla ya kuanzisha biashara yoyote. Asione ana fans wengi huko kwenye mitandao ya kijamii akajua ashapata uhakika wa soko lake.
Wadau mbalimbali walimshauri alivyopata hizo pesa arudi kwao Arusha au atafute mji wowote unaukuwa kiuchumi kama Mwanza, Mtwara, Dodoma, Mbeya akafanye investment huko. Lakini naona kaamua kukomaa na jiji... Kazi kwake
Nyumba ya 20M? Hebu toa mfano wa mitaa tuone bei za kununua kiwanja mitaa hiyo. Fremu za biashara uswahilini mpaka elfu 60, utarudisha lini pesa yako? hapo unahifadhi pesa, hufanyi biashara. Bora achukue 100M akanunue eka 200 za miti Iringa, salio aendelee na biashara zake za rejareja kuzungusha mashati anazoamini zitamlipa, mwisho wa siku akihitaji pesa zaidi anayo dhamana, miti ina faida kubwa sana. kila mtu anayo mawazo yake.
Acha majungu, kwa nini usifuatilie ya mume wako. 😕😕😕
Ile nyumba kapewa hajanunua acha majungu ata kama ni gofu ni yake not yours😡:
duh, hiyo saundi babu, kila mwezi uweke 20M ili kuifikisha hiyo 500m ndani ya miaka 2.
ningekuwa yeye mil 500 ni nyingi.ningenunua nyumba ambazo zimechakaa,ningeziboresha au bomoa na kujenga mpya. nyumba tano zinatosha kabisa..kila nyumba ningegharamia gharama za sh mil 50.za kawaida tu ila ni best quality. na ningetumia jumla ya sh mil 200 had 250. hapo ningeanza kuzipangisha kwa sh lak 3 had 5 kila mwezi. kwa mwaka ningeweza tengeneza kodi ya sh mil 15 Had 18 kwa laki tatu na had mil 30 kwa lak 5 kwa mwezi. kwenye upande wa low scale real estate in tanzania now,ni biashara ambayo hataambae hana ujuzi wa biashara anapiga hela. kununua nyumba ya sh mil 250 na pesa uliopata mil 500 ni kama kujitengenezea kitobo kwenye tanki ambacho kidogo kidogo kitasabisha maji kuisha.labda aana mipango.hizi ni recommendation tu.Yeye kanunua bangalow kule Africana na kukimbilia kupost kwenye mitandao.. Wahindi wana multi-million deals hapa mjini lakini yupo National Housing. Ukimwona muhindi kajenga nyumba au kanunua aishi ujue huyo ana billions nyingi kwenye account yake..Kama alikua anataka kukaa sehemu nzuri na usafiri mzuri million 50 pekee ingemtosha.. 21 years old kukaa kwenye jumba kama lile tena huna familia ni matumizi ya kipumbavu
ningekuwa yeye mil 500 ni nyingi.ningenunua nyumba ambazo zimechakaa,ningeziboresha au bomoa na kujenga mpya. nyumba tano zinatosha kabisa..kila nyumba ningegharamia gharama za sh mil 50.za kawaida tu ila ni best quality. na ningetumia jumla ya sh mil 200 had 250. hapo ningeanza kuzipangisha kwa sh lak 3 had 5 kila mwezi. kwa mwaka ningeweza tengeneza kodi ya sh mil 15 Had 18 kwa laki tatu na had mil 30 kwa lak 5 kwa mwezi. kwenye upande wa low scale real estate in tanzania now,ni biashara ambayo hataambae hana ujuzi wa biashara anapiga hela. kununua nyumba ya sh mil 250 na pesa uliopata mil 500 ni kama kujitengenezea kitobo kwenye tanki ambacho kidogo kidogo kitasabisha maji kuisha.labda aana mipango.hizi ni recommendation tu.
pia idea alionayo na kuifanyia kazi iko vizuri .haijalishi wangapi waliifanya wakashindwa.hatufanani kila mtu ana ujuziwake,bahati yake na nehema yake.Nyumba ya 20M? Hebu toa mfano wa mitaa tuone bei za kununua kiwanja mitaa hiyo. Fremu za biashara uswahilini mpaka elfu 60, utarudisha lini pesa yako? hapo unahifadhi pesa, hufanyi biashara. Bora achukue 100M akanunue eka 200 za miti Iringa, salio aendelee na biashara zake za rejareja kuzungusha mashati anazoamini zitamlipa, mwisho wa siku akihitaji pesa zaidi anayo dhamana, miti ina faida kubwa sana. kila mtu anayo mawazo yake.
nimemaanisha ainvest sh mil 200 had 250. zinazobakia ni afanyie mambo mengine. kwa upande wa kuinvest kwenye nyumba ni bora .kwa kuangalia return on investment na capital appreciation. akiwa na nyumba thamani ya ardhi inaonezeka,pia hata akifulia baadae anaweza akatumia akiba atakayokuwa anaiweka kutoka kwenye nyumba.Ni hasara kuivest 500m ili i-generate 2m kwa mwezi.
kweli mkuu high return,high risk and the vise versakuna ndugu yangu mmoja alinielewesha kwanini watu wa madini wengi wao hawawezi kuinvest pesa zao kwenye vitu kama hivyo.. Sababu ni hiyohiyo, anawaza elfu 60 mpaka ije kufika million 40 (thamani ya jiwe moja ninaloweza kupata kwa dakika kadhaa) ni lini.. Mwisho wa siku wanaishia kuwa broke at their prime. Maana akishafika miaka kadhaa nguvu za kuingia tena kule mapangoni kutafuta mawe hana tena na pesa yote alikula..
Same to your story, unataka kwa million 500 yake basi afanye biashara ambayo miezi miwili au mitatu anaongeza million 500 nyingine.. Hivi akijenga frame 10 au 20 akawa na uhakika wa 600,000/- au 1,200,000/- kila mwezi atakuwa kapungukiwa nini. And that is a life time investment, tena hizo pesa anaweza kuziacha zikimultiply kwenye account yake kwa miaka na miaka bila hata kuzigusa, wakati hiyo balance iliyobaki (actually ni nyingi tu itabaki) akifanya hayo ya miti uliyosema. Mkuu ogopa sana biashara yenye return kubwa kwa muda mfupi.. Ndio hao hao watu wa madini na sembe
Yeye kanunua bangalow kule Africana na kukimbilia kupost kwenye mitandao.. Wahindi wana multi-million deals hapa mjini lakini yupo National Housing. Ukimwona muhindi kajenga nyumba au kanunua aishi ujue huyo ana billions nyingi kwenye account yake..
Kama alikua anataka kukaa sehemu nzuri na usafiri mzuri million 50 pekee ingemtosha.. 21 years old kukaa kwenye jumba kama lile tena huna familia ni matumizi ya kipumbavu
ningekuwa yeye mil 500 ni nyingi.ningenunua nyumba ambazo zimechakaa,ningeziboresha au bomoa na kujenga mpya. nyumba tano zinatosha kabisa..kila nyumba ningegharamia gharama za sh mil 50.za kawaida tu ila ni best quality. na ningetumia jumla ya sh mil 200 had 250. hapo ningeanza kuzipangisha kwa sh lak 3 had 5 kila mwezi. kwa mwaka ningeweza tengeneza kodi ya sh mil 15 Had 18 kwa laki tatu na had mil 30 kwa lak 5 kwa mwezi. kwenye upande wa low scale real estate in tanzania now,ni biashara ambayo hataambae hana ujuzi wa biashara anapiga hela. kununua nyumba ya sh mil 250 na pesa uliopata mil 500 ni kama kujitengenezea kitobo kwenye tanki ambacho kidogo kidogo kitasabisha maji kuisha.labda aana mipango.hizi ni recommendation tu.
Mmmhhhh we tafuta zako uzipangie biashara kubwa au sio