Mshindi wa BBA Idris

Mshindi wa BBA Idris

si chumba na sebule tu.
Fremu pia zitahusika
sehem tofauti tofauti uswahilini
''kila mwaka ardhi(nyumba) hupanda thamani
kwa pesa hiyo atamiliki zaidi ya nyumba 20 za hali ya chini.

Nyumba ya 20M? Hebu toa mfano wa mitaa tuone bei za kununua kiwanja mitaa hiyo. Fremu za biashara uswahilini mpaka elfu 60, utarudisha lini pesa yako? hapo unahifadhi pesa, hufanyi biashara. Bora achukue 100M akanunue eka 200 za miti Iringa, salio aendelee na biashara zake za rejareja kuzungusha mashati anazoamini zitamlipa, mwisho wa siku akihitaji pesa zaidi anayo dhamana, miti ina faida kubwa sana. kila mtu anayo mawazo yake.
 
Pesa hiyo angejenga uswahilini
nyumba za kutosha za hali ya chini.
Kila mwisho wa mwezi angekuwa na uhakika
wa kuingiza senti.
Na kwa baadae angekaa kibarazani kajifunga
msuli anakula kichwa cha samaki mkavu
ghahwa, kashata na tende.
''Life is criminal''

mkuu umesahau na dagaa mchele waliokaangwa kwa mafuta ya nazi, jioni khalua au kashata, shida ya nini?
 
nilimsikia akijinadi kuwa anategemea kuwa billionea kijana siku si nyingi na kwamba atafungua makampuni kibao,we wish him all the best,ingawa easy said than done.

makampun kwa mil 500?????
 
Pata pesa tujue upeo wako na filisika tujue tabia ya mkeo...
 
Yeye kanunua bangalow kule Africana na kukimbilia kupost kwenye mitandao.. Wahindi wana multi-million deals hapa mjini lakini yupo National Housing. Ukimwona muhindi kajenga nyumba au kanunua aishi ujue huyo ana billions nyingi kwenye account yake..

Kama alikua anataka kukaa sehemu nzuri na usafiri mzuri million 50 pekee ingemtosha.. 21 years old kukaa kwenye jumba kama lile tena huna familia ni matumizi ya kipumbavu

Acha wivu wa kike
Kama uwezo anao kuna tatizo gain? Pesa umempa wewe!?
 
hana wa kufanya naye bongo!
ni ukweli haupingiki muvi za kibongo ni takataka, kama tu za nigeria.

That means hana wa kufanya nae Africa?? Ahahahaha mnataka acheze kama zile Fast and Furious bongo kwa technolojia ipi??

Kwani yeye hawezi kurecruit watu na kufanya ya kiwango ambacho yeye anaona kinafaa?? I respect the late KANUMBA alipigana kuipandisha hii tasnia ya filamu nchini, ulikuwa ukiangalia filamu aliyoitoa 2006 alafu uangalie ya 2011 utaona kuna progress kubwa. Sasa yeye kwanini asipigane kuiinua tufike huko anakotaka yeye??

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini filamu zetu ni takataka?? Kwa budget ya Million 5 unataka ufanye filamu yenye viwango sawa na budget ya Billion 10?? Na wakati soko lenyewe wala halieleweki.. Ndio maana unakuta mtu mmoja ni Director, huyohuyo Location Manager, huyohuyo Make Up, huyohuyo Script Writer sababu they try to do their best kupunguza gharama...
 
Kuna siku tulikuwa na Dr. Ngowi, mchumi mashuhuri akawa anaongelea kuhusu vijana na economic investment, tuliongea sana mwishoni akasema nnaweza kumbadilisha mshindi wa BBA kutoka milionea wa milion 450 kuwa bilionea wa bilion 450, tukamuuliza kivipi? Akasema kwenye hiyo milioni 500 ye atam charge milioni 50, kwa ushauri na ufuatiliaji hizo nyinginge atamuelekeza nini cha kufanya...mwisho akasema ni kweli, atafute washauri wazuri before its too late,
 
Nyumba ya 20M? Hebu toa mfano wa mitaa tuone bei za kununua kiwanja mitaa hiyo. Fremu za biashara uswahilini mpaka elfu 60, utarudisha lini pesa yako? hapo unahifadhi pesa, hufanyi biashara. Bora achukue 100M akanunue eka 200 za miti Iringa, salio aendelee na biashara zake za rejareja kuzungusha mashati anazoamini zitamlipa, mwisho wa siku akihitaji pesa zaidi anayo dhamana, miti ina faida kubwa sana. kila mtu anayo mawazo yake.

Kuna ndugu yangu mmoja alinielewesha kwanini watu wa madini wengi wao hawawezi kuinvest pesa zao kwenye vitu kama hivyo.. Sababu ni hiyohiyo, anawaza elfu 60 mpaka ije kufika Million 40 (thamani ya jiwe moja ninaloweza kupata kwa dakika kadhaa) ni lini.. Mwisho wa siku wanaishia kuwa broke at their prime. Maana akishafika miaka kadhaa nguvu za kuingia tena kule mapangoni kutafuta mawe hana tena na pesa yote alikula..

Same to your story, unataka kwa million 500 yake basi afanye biashara ambayo miezi miwili au mitatu anaongeza million 500 nyingine.. Hivi akijenga Frame 10 au 20 akawa na uhakika wa 600,000/- au 1,200,000/- kila mwezi atakuwa kapungukiwa nini. And that is a life time investment, tena hizo pesa anaweza kuziacha zikimultiply kwenye account yake kwa miaka na miaka bila hata kuzigusa, wakati hiyo balance iliyobaki (actually ni nyingi tu itabaki) akifanya hayo ya miti uliyosema. Mkuu ogopa sana biashara yenye return kubwa kwa muda mfupi.. Ndio hao hao watu wa madini na sembe
 
nyumba ya 20m? Hebu toa mfano wa mitaa tuone bei za kununua kiwanja mitaa hiyo. Fremu za biashara uswahilini mpaka elfu 60, utarudisha lini pesa yako? Hapo unahifadhi pesa, hufanyi biashara. Bora achukue 100m akanunue eka 200 za miti iringa, salio aendelee na biashara zake za rejareja kuzungusha mashati anazoamini zitamlipa, mwisho wa siku akihitaji pesa zaidi anayo dhamana, miti ina faida kubwa sana. Kila mtu anayo mawazo yake.
nalo wazo zuri pia,
biashara imani
kuna wengine wanaamini
kuwekeza mamilioni
kwenye mabasi
na wengine hata kwa bure
basi halitaki.
Ndivyo mungu alivyo tuumba kila mtu na rizki yake.
Kila mtu akiwa bosi nani atafanya kazi kwa bosi?
 
Kuna siku tulikuwa na Dr. Ngowi, mchumi mashuhuri akawa anaongelea kuhusu vijana na economic investment, tuliongea sana mwishoni akasema nnaweza kumbadilisha mshindi wa BBA kutoka milionea wa milion 450 kuwa bilionea wa bilion 450, tukamuuliza kivipi? Akasema kwenye hiyo milioni 500 ye atam charge milioni 50, kwa ushauri na ufuatiliaji hizo nyinginge atamuelekeza nini cha kufanya...mwisho akasema ni kweli, atafute washauri wazuri before its too late,

Thanks brother... and that was the aim of this thread. Wengine wanakurupuka na kuanza kurusha maneno yasiyo na msingi.. Kama atapita hapa ajue anahitaji washauri na marafiki wazuri kipindi hiki..
 
Alisema atafika Hollywood kabla ya miaka mitatu.. Lakini cha kushangaza kawaponda Bongo Movie na kasema hayuko tayari kufanya nao kazi kwasababu kazi zao hazieleweki.. Nilifiki angetumia ujuzi aliofundishwa kule ndani kuwatengeneza bongo movie pamoja na kuinua sanaa yetu.. Sasa sujui atafikaje huko Hollywood

Ataishia Borowood tu kama kina Wema na Diamond...
 
Kuna siku tulikuwa na Dr. Ngowi, mchumi mashuhuri akawa anaongelea kuhusu vijana na economic investment, tuliongea sana mwishoni akasema nnaweza kumbadilisha mshindi wa BBA kutoka milionea wa milion 450 kuwa bilionea wa bilion 450, tukamuuliza kivipi? Akasema kwenye hiyo milioni 500 ye atam charge milioni 50, kwa ushauri na ufuatiliaji hizo nyinginge atamuelekeza nini cha kufanya...mwisho akasema ni kweli, atafute washauri wazuri before its too late,

Tatizo watanzania hatujui kuwa pesa inanyauka/inaisha.Hizo hela angezifanyia cha maana, miaka kadhaa ijayo angekua billionaire kijana
 
Tatizo watanzania hatujui kuwa pesa inanyauka/inaisha.Hizo hela angezifanyia cha maana, miaka kadhaa ijayo angekua billionaire kijana

Ni kweli mkuu, kitu kingine watu hawajui kinachomaliza pesa ni matumizi madogo magogo, ukija kushtuka huna kitu, binafsi hiyo biashara ya clothing line simpi support yangu, hasa kutokana na mazingira halisi ya nchi yetu, watu wengi wanavaa mitumba, na nguo waliobaki wanavaa brands kubwa kubwa za nje, hizi zake ukivaa ukikutana na watu wawili wamevaa tayari ni mdosho, price yake 15000-20000 huwezi kuvaa tena, mfano "born to shine eer day" zingekuwa zinauzwa 60,000 wangevaa wachache na hata ukikutana na mtu kavaa huoni kama ni mdosho

Inabidi afikiri, ashauriwe na mwisho pesa ni zake atumie namna anavyotaka ila siku zote mtu unajisikia vibaya sana ukichekwa kwa ujinga wako, au mistakes japo mistakes ndio zinafanya mtu ufanye kitu kilicho bora zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom