Yeye kanunua bangalow kule Africana na kukimbilia kupost kwenye mitandao.. Wahindi wana multi-million deals hapa mjini lakini yupo National Housing. Ukimwona muhindi kajenga nyumba au kanunua aishi ujue huyo ana billions nyingi kwenye account yake..
Kama alikua anataka kukaa sehemu nzuri na usafiri mzuri million 50 pekee ingemtosha.. 21 years old kukaa kwenye jumba kama lile tena huna familia ni matumizi ya kipumbavu
Kama ni banglow tena Afrikana, hyo itakuwa imeisha yote.Labda kama Salasala au Kinzudi.