Duh naona si haba, kamanda wa magereza yuko gado ile kinoma....
Hizo ni "bullet proof goggles" au ndo "urembo" wa kisasa?
Naona hata mheshimiwa mwenyewe kama intimidated....lol
tehe tehe teehe nimeangua kicheko sana......nimefurahia hii picha....sio afande Byemelera Mswadiku huyu?...kuna afabnde mmoja alikuwa maarufu kama saba sita 7 6 alikuwa Moshi yuko wapi siku hizi?? na kuna yule Mkama shapuEti mnasema afande wetu hawako fit! Hebu check angle ya 90 degrees....halafu bado hajaishia hapo...anaitafuta 120 degrees. Utafikiri hana kitambi...lol
May be ni X-Rays or Infrared Goggles...!
tehe tehe teehe nimeangua kicheko sana......nimefurahia hii picha....sio afande Byemelera Mswadiku huyu?...kuna afabnde mmoja alikuwa maarufu kama saba sita 7 6 alikuwa Moshi yuko wapi siku hizi?? na kuna yule Mkama shapu
mhh kapandaje panadaje vyeo namna hio?? miaka sio mingi alikuwa koplo if am not mistakenBaba 76 ndo kamanda wa mji kasoro bahri..