Hakimu Morogoro adaiwa kupora mke wa Mhadhiri wa SUA

mito

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
10,513
10,404
Mi sio mwanasheria ila najua hakimu hapaswi kusikiliza shauri ambalo ana maslahi binafsi. Lakini uyu hakimu wa mahakama ya mwanzo kihonda (mheshimiwa J) aliamua kuweka kando maadili ya kazi na kuendekeza hisia za mapenzi.

Mhe J ana mahusiano ya kimapenzi na muke ya msomi mmoja wa SUA kwa muda mrefu tu. Sasa za mwizi 40, baada ya muda kujua timbwili kali likazuka nyumbani kwa bidada. Basi bidada kuona kalikoroga akakimbia mbio kwa mh J kumhadisia kilichotokea. Ndo mheshimiwa kumwambia usijali jambo dogo sana ilo dia wangu. Mh J akaanza kumpa mpango mzima na jinsi ya kupata mali za msomi kirahisi. Bidada akaona mambo si aya sasa mana kibongo bongo msomi yuko vizuri. Ela ya kubadilisha mboga na ada za watoto za shule nzuri nzuri si haba.

Bac mh J akampa mpango wa kufaili divosi apate talaka na mali za kutosha. Bidada akamtaimu msomi amesafiri huku nyuma bidada akapeleka samasi kwa mwenyekiti wa mtaa. Akampa kitu kidogo mwenyekiti akalegea akamuomba aandike kuwa msomi amekataa wito, akagonga muhuri kabisaa. Bidada uyooo akaiwahisha mahakamani kwa mh J.

Mh J akaanza kusikiliza kesi 08/2022 upande mmoja (nyie wanasheria mnajua zaidi. Akamwelekeza na mashahidi wa kuleta, akaleta dada yake na mdogo wake wakasikilizwa fasta. Bidada akaambiwa ataje kabisa na mali walizo nazo. Bac mh J akavunja ndoa ya bidada na msomi kimasihara ivi na kimgawia mali alizotaka. Mgao akapewa 50 kwa 50 japokuwa bidada hana kazi maalum, anabangaiza tu mjini hapa na vibiashara vya uongo na kweli.

Msomi anarudi toka safarini akakuta mambo huku yashaharibika. Baba wa watu akachanganyikiwa. Akaenda mahakamani kuuliza kulikoni akakuta alieshikilia kesi ni yule yule mhe J mbaya wake. Baba msomi akachanganyikiwa zaidi asijue la kufanya.

Akaamua aombe na yeye asikilizwe. Ombi lake likakaliwa na mh J. Akaamua aende mbele akate rufaa, bado akakataliwa. Msomi akaenda mahakamani kuu napo akachezewa mchezo mchafu rufaa yake ikapigwa chini na Jaji. Kwanza wilayani walimcheleweshea nakala ya hukumu hadi muda ukaisha. Pili mh J akafanya tena yake ikaonekana rufaa imeenda Mahakama kuu kinyuma cha utaratibu. So jaji akaitupilia mbali. Msomi wa watu akachoka kabisa akazidi kuchanganyikiwa.

Haraka haraka mh J akamwambia bidada awahi kuomba utekelezaji wa hukumu yake ili akabiziwe mali alizopewa na mh J. Huku bado msomi wa watu amechanganyikiwa akaletewa notisi na madalali wa mahakama kumtaka amkabidhi bidada mali zote pamoja na nyaraka zake. Msomi akawa hoi kabisa kidogo afe kwa presha.

Sasa mkwamo ukaimbuka kwenye utekelezaji. Kumbe bidada zile mali alizotaja apewe hakuwa anazifahamu vizuri. Gari moja kati ya 2 alotaka bidada ni hewa. Hawakuwahi kumiliki gari la aina iyo. Nyumba 1 kati ya 2 alizotaka bidada ni ya mtoto wao first born. Hiyo ya 2 alikosea kutaja eneo ilipo, akataja mahali hawana nyumba. Pia kiwanja alichotaka pia alikosea eneo vile vile. Alitaja sehemu hawana kiwanja.

Bac bidada anahaha kila siku kumlilia mh J amsaidie apate hizo mali. Mheshimiwa sasa anacheza na madalali wa mahakama wabadilishe nyaraka ili wakamkabizi bidada mbadala wa mali zilizopo. Yaan kama aliitaji nyumba ya sehemu A wakati sehemu A hakuna nyumba huko, bac apewe iliyopo sehemu B. Gari nayo ivo ivo. Me sio mwanasheria lakini naona wazi hili aliko sawa.

Kwaiyo bidada naye anawaza. Kama atakosa izo mali wakati tayr kaishavunja ndoa yake itakuaje jaman. Bac kila siku bidada yuko bize kumpetipet mh J amfanikishie jambo lake. Kwasas mh J yuko masomon ila anafuatilia kila kitu kinachoendelea. Hadi kamwekea bidada advoket rafiki yake wa damu amsimamie bidada jambo lake likamilike.

Kwa upande wake Msomi kavurugwa kabisa na mipango ya bidada kuvunja ndoa yao ya miaka 16 yote kimasihara na kupora mali. Uchumi umeshuka hadi leo mtoto wao wa mwisho mwenye jina kama la mhe hajaenda shule sababu ya ada na mahitaji mengine.

Wambeya sis bado tunaendelea kufuatilia sakata hili kujua litaishaje. Bidada kapangishiwa na mheshimiwa anajilia vyake taratibu. Kuna siku bidada anaenda kumtembelea mh J huko chuo aliko. Mheshimiwa kakolea hasa kwa bidada hadi kuna wakati mh akirudi Moro anaishia kwa bidada tu haendi kuona familia yake. Mambo ni faya faya.

Nimekumbuka huu mkasa sababu kuna uzi uliletwa humu khs kwanin watanzania wengi hawana imani na mahakama zetu.
Mahakama zetu zimekuwa siyo sehemu ya kupata haki, bali ya kuonewa. Ona baba wa watu anavonyanyasika. Haki ya kusikilizwa tu kanyimwa yaan. Yaan ndoa yake inavunjwa bila yeye kusikilizwa, ni haki hii jaman. Mali zake zinagaiwa bila yeye kushirikishwa, kweli?

Natamani kuona wakubwa wanaitupia macho kesi hii ili msomi uyu atendewe haki. Naona kabisa mateso makubwa yanayokuja kuwapata watoto wao wasio na hatia. Wawili wako bweni ila mmh sijui kama wakirudi likizo watapata ela ya kurudi shule.

Shikamoo Liz.........kazi shemasi wa ukweli msabato wa nguvu na matron wa kanisa AKILI KISODA
Yaan UNAVUNJA NYUMBA YAKO UNAENDA KUWA NYUMBA NDOGO

Jaman hii ni C&P japo ni stori ya kweli
 
Mhe J ana mahusiano ya kimapenzi na muke ya msomi mmoja wa SUA kwa muda mrefu tu. Sasa za mwizi 40, baada ya

Jaman hii ni C&P japo ni stori ya kweli
Dah
 
Huwa hawasikii hata wakiambiwa mwanamke ni wa kupuuza.
 
Sijui kwa nini nimesoma.huu uzi.

Enewei KATAA NDOA maana ni ukatili
 
Wanawake wa sasa hawana AKILI kabisa.

Wanawaza chini tu.
 
Back
Top Bottom