mshenga mzoefu anahtajika

Huna haja ya Mshenga kaka,nitafutie Tetere mweupe,kipande cha sanda iliyotumika na robo lita ya petroli nimalize kazi kaka,ukitaka hata umkute chumbani kwako utamkuta....

yote ya nini hayo wewe kaniletee Mbuzi wa rangi ya bluu, Jasho ndoo mbili, sisimizi mwenye makengeza nikufanyie kazi chap chap ukishindwa kupata niletee milioni mbili niktafutie
 
yote ya nini hayo wewe kaniletee Mbuzi wa rangi ya bluu, Jasho ndoo mbili, sisimizi mwenye makengeza nikufanyie kazi chap chap ukishindwa kupata niletee milioni mbili niktafutie

Nitakupa 2.5 ml.anza kazi kabisa nikianza kuona mafanikio nitakupa mzigo wako
 
Huyu unaetafuta ni mshenga ama kuwadi? Hebu kuwa wazi.
wadau nahtaji mshenga mwenye uzoefu wa kuweza kumbadilisha MENTION= Elizabeth dominic MENTION.nimetumia uzoefu wangu kwakila hali nimekwama lakini bado nampenda na namuhtaji.atakayeweza kufanikisha zoezi hilo atapata donge nono.

Wenu ...............m.........
 
Back
Top Bottom