Mshana Witch project

Mshana Witch project

Inawezekana kweli?!

Maana alimwacha! Japo hawana ugomvi, mwanamke aliolewa na ana watoto wawili ana ujauzito wa tatu, alimpenda sana jamaa kupita kawaida, mpaka Leo anampenda sana na kumlaumu kwanini alimwacha wakati bado anampenda, ana mwambia hawa watoto wangekuwa wako sasa hivi, umenifanya nikaolewa na mtu nisiyempenda kwasababu yako,

japo hawana ugomvi na bado wanawasiliana vizuri tu lakini jamaa anahisi kile kitambaa alichofutiwa na kutiwa kwenye pochi kilikuwa na namna,,,
Nasisitiza arudi akamuombe AMFUNGUE
 
Ngoja kwanza;

Kwahiyo unataka kutuambia nini tunaokenua kupanguswa mkuyenge baada ya kazi, tena kwa vi-leso maalumu kwa kazi hiyo?
Mahaba ni ukishapiga bao huduma zingine makinika zako..
 
Ndio maana inashauriwa ukila mzigo wa mpango wa kando hakikisha mnaenda kuoga wote na kama ni maswala ya kujifuta jifute mwenyewe
Kwahiyo ata kama umetumia kondomu bado inafanya kazi?
 
Ipo ila itachukua muda sana
Mmmh,,, hii inatisha sana, it's disaster indeed,

Mwisho mkuu,,, na je, mathalan akienda alafu akamkana kwamba hajamfanyia kitu?!

Maana sio rahisi mtu kukiri kumtendea mtu witchcraft or use of spells, black magic etc
 
Nina mchango mkubwa sana kwenye kufisha na kufifisha nyota ya chama pendwa
Nimeroga sana hapo kabla lakini mwaka huu nimeroga mpaka jasho langu likawa linanuka uchawi
Nilijenga vilinge majini
Nikajenga vilinge ardhini
Nikajenga na angali
Nimepandikiza gundu kwenye rangi za chama
Wagombea nikawatupia gundu la kinyesi..mkubwa kabisa nikampiga jini kisirani
Nimeroga wala sijisifu ..nimeroga mpaka uchawi ukanikifu

Malighafi zangu maarufu zilikuwa ni
Maji ya gundu
Maji ya janaba bichi
Damu Chafu
Majani ya mkafiri
Nyota ya nuksi
Kinyesi cha popo/ngozi ya kinyonga
Mizizi ya mti chonganishi

Nikavaa koti la ugaguzi..walipokuja nikawapiga gundu wajumbe wakawaona kama maliwato ya jiji
Nikavaa koti la ulokole walipokuja kwa maombi nikawapiga muhuri wa upofu na kuzima nyota zao...walipojitokeza upenuni wajinadi wakakimbiwa na kuzomewa...

Nimejenga madhabahu za giza nyuani mwao
Nikajenga zingine kondeni
Na zingine kwenye mapito yao..hakuna nilipobakisha...na kila waliporudi kwangu kulalamika nikawaambia wamekosea masharti

Project inaendelea..huu ni mrejesho sehemu ya kwanza...mkiona wanakimbiwa..tambueni kuna miba za nungunungu zimetegwa kila pahala...
Duuuh hawa jamaa ndo wana kila zana, unahangaika tu
 
Hahaha haha hahaha haha sa itakuaje
 
Taja hizo malighafi kama tunaweza changia
Maji ya gundu
Maji ya janaba bichi
Damu Chafu
Majani ya mkafiri
Nyota ya nuksi
Kinyesi cha popo/ngozi ya kinyonga
Mizizi ya mti chonganishi
 
Mshana mimi nahitaji sayansi ya Kiafrika ya kuwadhibiti wezi kuanzia shambani, kwenye mifugo hadi kwenye makaazi yangu
 
Mmmh,,, hii inatisha sana, it's disaster indeed,

Mwisho mkuu,,, na je, mathalan akienda alafu akamkana kwamba hajamfanyia kitu?!

Maana sio rahisi mtu kukiri kumtendea mtu witchcraft or use of spells, black magic etc
Kule kum face na kumwambia ukweli tayari ni one big step ahead ..anaweza kubisha pale lakini baadae atajifikiria sana
 
Damu au sio
Maji ya gundu
Maji ya janaba bichi
Damu Chafu
Majani ya mkafiri
Nyota ya nuksi
Kinyesi cha popo/ngozi ya kinyonga
Mizizi ya mti chonganishi
 
Back
Top Bottom