Mshana Witch project

Mshana Witch project

Msata nyuma ya makaburi karibu bila shaka
Kudadaki lile eneo nalipata sana aisee .

Niliwahi pata ajali pale mbele kidogo kwenye kale kadaraja kabala hujapandisha ule muinuko kuelekea mizani

Walikufa watu Kama watano hivi pale

Kwa bahati nzuri nilitoka salama bila mkwaruzo wakati wa pembeni yangu alichanwachanwa na vioo full damu

Hakika siku ile nilinuona MUNGU

Miaka Kama 7 hivi iliyopita
 
Sasa mkuu yanaila namna gani wakati mimi nakuwa bado naiona bado iko nami kwenye eneo husika... Au yanakula kwa njia ya mnururisho ?
kwani hata yakila utaona? Huoni ila hamu ya kupiga puchu itaongezeka hapo tambua jamaa wanataka tena
 
Kudadaki lile eneo nalipata sana aisee .

Niliwahi pata ajali pale mbele kidogo kwenye kale kadaraja kabala hujapandisha ule muinuko kuelekea mizani

Walikufa watu Kama watano hivi pale

Kwa bahati nzuri nilitoka salama bila mkwaruzo wakati wa pembeni yangu alichanwachanwa na vioo full damu

Hakika siku ile nilinuona MUNGU

Miaka Kama 7 hivi iliyopita
Ajali za kale kadaraja zina simulizi yake....si wote wafao pale hufa kabisa
 
Back
Top Bottom