Mshana Witch project

Mshana Witch project

Unakumbuka ile ya Mu7 chuttle? Vijana wangu kilingeni walikuwepo....
Yaani Museveni hakumpa kiranja wetu mkono kabisa na aliporudi nyumbani kaliweka jopo lote alilokuja nalo karantini.
Katika ulimwengu wa roho hii kitu sijui itakua inamaanisga nini.
Labda tupate dokezo kwako mwenye project
 
Yaani Museveni hakumpa kiranja wetu mkono kabisa na aliporudi nyumbani kaliweka jopo lote alilokuja nalo karantini.
Katika ulimwengu wa roho hii kitu sijui itakua inamaanisga nini.
Labda tupate dokezo kwako mwenye project
Kuna kitu aliogopa

Gundu la kinyesi
 
Sasa umewaroga wapiga kura,tume ya uchaguzi,wagombea ama?
 
Nina mchango mkubwa sana kwenye kufisha na kufifisha nyota ya chama pendwa
Nimeroga sana hapo kabla lakini mwaka huu nimeroga mpaka jasho langu likawa linanuka uchawi
Nilijenga vilinge majini
Nikajenga vilinge ardhini
Nikajenga na angali
Nimepandikiza gundu kwenye rangi za chama
Wagombea nikawatupia gundu la kinyesi..mkubwa kabisa nikampiga jini kisirani
Nimeroga wala sijisifu ..nimeroga mpaka uchawi ukanikifu

Malighafi zangu maarufu zilikuwa ni
Maji ya gundu
Maji ya janaba bichi
Damu Chafu
Majani ya mkafiri
Nyota ya nuksi
Kinyesi cha popo/ngozi ya kinyonga
Mizizi ya mti chonganishi

Nikavaa koti la ugaguzi..walipokuja nikawapiga gundu wajumbe wakawaona kama maliwato ya jiji
Nikavaa koti la ulokole walipokuja kwa maombi nikawapiga muhuri wa upofu na kuzima nyota zao...walipojitokeza upenuni wajinadi wakakimbiwa na kuzomewa...

Nimejenga madhabahu za giza nyuani mwao
Nikajenga zingine kondeni
Na zingine kwenye mapito yao..hakuna nilipobakisha...na kila waliporudi kwangu kulalamika nikawaambia wamekosea masharti

Project inaendelea..huu ni mrejesho sehemu ya kwanza...mkiona wanakimbiwa..tambueni kuna miba za nungunungu zimetegwa kila pahala...
Dah! Naanza kukuogopa..
Kweli dunia uwanja wa fujo
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu.Mmeteswa sana miaka 5 bila ongezeko la mshahara,kupanda madaraja,increments,malimbikizo n.k.

Mpigie lissu kura ubarikiwe pia.
 
Back
Top Bottom