Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,000
- 828,765
Hv uko seriousy au unatania?Sawa lakini tutatoa kafara la damu
kwani hata yakila utaona? Huoni ila hamu ya kupiga puchu itaongezeka hapo tambua jamaa wanataka tena

Mshana jr KWANINI MCHAWI ASIIBE BENKI
Hebu nipe ufafanuzi kidogo hapa, kuna rafiki yangu aliwahi kunambia walipotoka "ku-do" girl alimfuta na kitambaa cheupe kisha akakitia kwenye pochi yake, wakati taulo lilikuwepo, kisha akamwambia jamaa ole wako, ukiniacha utakoma!Fresh mkitoka ku do demu anakufungashia kile kifutio mnamalizana
Uchawi haujawahi kuwa msafi labda ule usiotumia hayo madude...but ni uchafu wa kiroho sio kimwiliKama ni kweli wachawi hutumia vitu hivi basi uchawi ni uchafu sana
Maji ya maiti, Ngozi ya kinyonga, Janaba, Mavi ya popo, Damu ya hedhi...
Inawezekana alimtisha tu lakini hiyo ni risk akimpata mtaalam mzuri unaweza lufungwa ukapigwa Pini kila konaHebu nipe ufafanuzi kidogo hapa, kuna rafiki yangu aliwahi kunambia walipotoka "ku-do" girl alimfuta na kitambaa cheupe kisha akakitia kwenye pochi yake, wakati taulo lilikuwepo, kisha akamwambia jamaa ole wako, ukiniacha utakoma!
Nini maana yake?! Na kuna uhusiano gani na hilo la janaba bichi?! Please
Na ndio anapitia hii hali sasa,,, kila jambo lake haliendi kabisa! Naanza kupata concept hapa!Inawezekana alimtisha tu lakini hiyo ni risk akimpata mtaalam mzuri unaweza lufungwa ukapigwa Pini kila kona
Inawezekana kweli?!Arudi kwa huyo mwanamke 'amfungue'
Unakaribia kuhitimu kozi hatua ya kwanza
Arudi kwa huyo mwanamke 'amfungue'