Mshana Witch project

Mshana Witch project

Mkuu wa Anga nimeangalia kwa haraka kuna shida na yama au nchi i nyingi zenye rangi ya kijani bendera zake Kindumba hii inamaana gani
Kijani ni alama ya uhai lakini kikiwa kimekoza...kikipauka ni dalili ya ukame mkuu...sasa kwa kipindi tulichonacho pengine ni ukame wa kura
 
Nina mchango mkubwa sana kwenye kufisha na kufifisha nyota ya chama pendwa
Nimeroga sana hapo kabla lakini mwaka huu nimeroga mpaka jasho langu likawa linanuka uchawi
Nilijenga vilinge majini
Nikajenga vilinge ardhini
Nikajenga na angali
Nimepandikiza gundu kwenye rangi za chama
Wagombea nikawatupia gundu la kinyesi..mkubwa kabisa nikampiga jini kisirani
Nimeroga wala sijisifu ..nimeroga mpaka uchawi ukanikifu

Malighafi zangu maarufu zilikuwa ni
Maji ya gundu
Maji ya janaba bichi
Damu Chafu
Majani ya mkafiri
Nyota ya nuksi
Kinyesi cha popo/ngozi ya kinyonga
Mizizi ya mti chonganishi

Nikavaa koti la ugaguzi..walipokuja nikawapiga gundu wajumbe wakawaona kama maliwato ya jiji
Nikavaa koti la ulokole walipokuja kwa maombi nikawapiga muhuri wa upofu na kuzima nyota zao...walipojitokeza upenuni wajinadi wakakimbiwa na kuzomewa...

Nimejenga madhabahu za giza nyuani mwao
Nikajenga zingine kondeni
Na zingine kwenye mapito yao..hakuna nilipobakisha...na kila waliporudi kwangu kulalamika nikawaambia wamekosea masharti

Project inaendelea..huu ni mrejesho sehemu ya kwanza...mkiona wanakimbiwa..tambueni kuna miba za nungunungu zimetegwa kila pahala...
jamaa bana
 
Na wabongo tunavyopenda shirki, hakika utawapata wengi.
 
Mi hua najiuliza mtaani kwako watu hawakuhisi vibaya kwel? Nakumbuka ulileta uzi unaohusu chumvi namna unavyo weza kuitumia ili kupambana na nguvu za giza.Nilifanya Kama ulivyo elekeza nikabain wew ni mwamba.
Serious mkuu?
 
Fresh mkitoka ku do demu anakufungashia kile kifutio mnamalizana

Kumamake Kuna dem aliendaga na leso yangu aliyokuwa anajifutia nilipokuwa namtia geto et anaenda kuifua..ikawa mazima.

Anyways..hata akilota atajisumbua. Nilianza kupikwa toka nipo kinda
 
Kumamake Kuna dem aliendaga na leso yangu aliyokuwa anajifutia nilipokuwa namtia geto et anaenda kuifua..ikawa mazima.

Anyways..hata akilota atajisumbua. Nilianza kupikwa toka nipo kinda
 
Mganga ni nani? Mchawi ni nani? Mimi kusema kweli ni mshirikina maana nafanya vyote viwili
Bro Mshana Jr mimi binafsi huwa na kuelewa sana nikiwa jamii forum bila kuona post yako naona hapaja noga, kizuri zaidi napenda jinsi huwa una tueleza ukweli wa mambo salute ubarikiwe but am looking forward kukutana na wewe siku moja atleast nipige story mbili tatu huwa napenda kuelewa na kujuwa hizi elimu una tupa kila siku
 
Back
Top Bottom