Mshana Witch project

Mshana Witch project

Mshana Jr kuna mchongo nimepewa nitafute funza waliodondoka chni mixture na mchanga ilipolala maiti nasikia ukipata huo mchanganyiko ni hatari...imewekwa hela ndefu mezani nikipata vitu hivi hutumika kwenye mambo gani hasa?
 
1. Ngekewa na mvuto
2. Utajiri
3. Mvuto na bahati
4. Kumpiga adui
Maarufu zaidi ni namba 2
 
1. Ngekewa na mvuto
2. Utajiri
3. Mvuto na bahati
4. Kumpiga adui
Maarufu zaidi ni namba 2
🤣🤣🤣🤣umenifurahisha sana uliyoyesama ni kweli kabisa kuanzia leo nimeamini wewe ni mtabe wa mambo haya...maana jamaa aliyeniwekea mchongo nae kasema hivyohivyo mkuu wangu! Kama unahuu mzigo njoo pm tufanyebiashara mkuu
 
Project inaendelea..huu ni mrejesho sehemu ya kwanza...mkiona wanakimbiwa..tambueni kuna miba za nungunungu zimetegwa kila pahala...
Mkuu kagua tena target yako, maana naona ni kama mishale yako imeelekezwa kwa " mbobezi " Ha ha haaa! Kwenye haki na Nguvu halisi za Mungu, hizi zinaitwa 'uchwara'!
 
Back
Top Bottom