Sasa mshana ndio ushamharibu akili demiss???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ambiele kivile mbele akifatiwa na MwifwaView attachment 723434
Ama kweli ndege wafananao huruka pamoja hivi kumbe na wewe ni mzee wa kutupia picha kama le shemeji mshana jr.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...nyama ya shughuli ikiandaliwa
![]()
hahaha [emoji28][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23] spea mai ribs broNa hii ndio itakuwa avatar yake mpya View attachment 723476
Mc toka ZimbabweNitarudi...[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
yani acha tu [emoji23][emoji28][emoji23] tushampoteza DemissSasa mshana ndio ushamharibu akili demiss???
Yani nayeye keshakuwa mlozi
ndugu yangu nakuona upo kwenye foleni [emoji23][emoji28][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo unamzibia riziki kijanja ili asitongozwe na mashababi wa humu.Na hii ndio itakuwa avatar yake mpya View attachment 723476
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] homie karibu tucheze na ngoma za kwetuu kuleeeToobaaah kumbe Miller nae ni wale wale. ......
Homie. ...........