Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,741
- 861,143
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hao ni manchester united wakiwa ibadani. mshana jr yuko Ambangulu muda huu anapigwa tu na Baridi LA milimani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hao ni manchester united wakiwa ibadani. mshana jr yuko Ambangulu muda huu anapigwa tu na Baridi LA milimani
naona jamaa ameshajipatia fans sasa😀 😀 😀 😀 😀 😀 Joverest:
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ni kitu ambacho sikiamini hata kidoogo hapa duniani[emoji16]
Hakuna kitu ka hicho
Toka lini wachawi wakavaa nguo ka za kung-Fuh[emoji16]
Hii imenikumbushia BONGO MOVIE jini limevaa jezi ya ARSENAL[emoji16][emoji16]
Tena mkuu na uchawi wao wameshindwa kushikiza lile zulia jekundu vizuri!Hii ni kitu ambacho sikiamini hata kidoogo hapa duniani[emoji16]
Hakuna kitu ka hicho
Toka lini wachawi wakavaa nguo ka za kung-Fuh[emoji16]
Hii imenikumbushia BONGO MOVIE jini limevaa jezi ya ARSENAL[emoji16][emoji16]