Mshana JR akiwa na washirika wake

Mshana JR akiwa na washirika wake

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,292
Reaction score
6,693
upload_2017-6-26_1-48-22.png
 
Mi nilijua tu huyu mshkaji haelewki na hii picha ataikataa na najua katika dp s yeye ila nasikitika muumini wewe uliwapiga picha wenzako ukaileta tafadhal wataje na hao wengine mnaoabudu wote
Plz
 
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]
 
Hii ni kitu ambacho sikiamini hata kidoogo hapa duniani[emoji16]
Hakuna kitu ka hicho
Toka lini wachawi wakavaa nguo ka za kung-Fuh[emoji16]
Hii imenikumbushia BONGO MOVIE jini limevaa jezi ya ARSENAL[emoji16][emoji16]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
4d8b1f63e210afef182bd837df8307a7.jpg
mganga kasuka nywele za rangi kabisa...kidigitali zaidi
 
Back
Top Bottom