Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

unaweza kutaja faida hata mbili tatu ukizopata kutoka kwake,
zaidi ya kukutia hofu na mwisho wa siku unaangukia mikononi nwa waganga wa kienyeji na kuishia kuwa mtumwa wa shetani.
mkuu mbona povu jingi jingi?? nani kakwambia nikisoma mada za huyu jamaa napata hofu? nani kakwambia nimeshakwenda kwa waganga wa kienyeji kwakua nilisoma posts zake? mkuu umetumia kigezo gani kujua naelekea kua mtumwa wa shatani?
just a very little advice: you better learn to think positive. so kila msoma biblia ni mkristu!!
 
Binafsi namkubali sana Mshana Jr mitizamo yake hasa inayohusu uzalendo,Kama yupo hivyo atajua yeyevingawa kiimani tunaambiwa,chukua jema hata kama linatoka kwa shetani
shetani kama alivyo hana jema,
kutafuta jema kwa shetani ni kujidanaganya.
 
Humu JF watu kujifanya wanajua Kuhukumu wenzao, as if wanawajua,kumbe apart from jina feki na sura feki hamna chochote wanachojua,zaidi ya kuotea otea thread zao,mshindwe
mtoa mada katoa maoni yake na ushauri,
una haki ya kuukubali au kuukata
kiukweli binafisi nimemwelewa alichomaanisha muhimu kaa mbali na hizo mada za kichawi zinazohamasisha ushirikiana zitakupeleka motoni.
 
mkuu mbona povu jingi jingi?? nani kakwambia nikisoma mada za huyu jamaa napata hofu? nani kakwambia nimeshakwenda kwa waganga wa kienyeji kwakua nilisoma posts zake? mkuu umetumia kigezo gani kujua naelekea kua mtumwa wa shatani?
just a very little advice: you better learn to think positive. so kila msoma biblia ni mkristu!!
mkuu faida ulizopata ni zipi kwa kuelezwa mchanganyiko wa vifaa vya. kichawi?
mbona swali rahisi.
 
unaweza kutaja faida hata mbili tatu ukizopata kutoka kwake,
zaidi ya kukutia hofu na mwisho wa siku unaangukia mikononi nwa waganga wa kienyeji na kuishia kuwa mtumwa wa shetani.
Faida zipo nyingi mno hasa unapofahamu njia watumiazo watu wabaya "washirikina" kukuloga.
Mfano kama unaelewa na unaishi kwny nyumba za kupanga huwezi anika nguo za ndani kihasara-hasara maana mbaya wako akiipata anakumalixa kiulaini.....

Pia tambua kwamba kauli yako unayoitoa unapoulizwa swali inaweza kutumiwa na mchawi ktk kuhakiki uchawi ulotengenezewa. Mfano unawezapigiwa simu mtu akakuuliza jumapili utakuwepo nyumbani? Ukamjibu "sitakuwepo" basi neno hilo linaweza kupitishia hati yako ya kifo na siku hiyo ukafa usiwepo duniani. Unapaswa kujibu utakuwa wapi.

Kuna hawa wazee wanaopenda kuomba vishilingi 100 au 200 vya ugoro. Unajua wengine wanafanyia nin?

Yapo mengi ya kujifunza na kikubwa zaidi unajifunza USIPOKUWA VERY CLOSE NA MUNGU NI KIASI GANI WACHAWI WATAKUCHEZEA.

Achana na hawa wanaoenda ktk nyumba za ibado huku maisha yao ya kila siku ni dhambi tupu.

Mshike mungu wako kwa matendo.
 
hayo uliyoeleza ni kweli waweza kuyafahamu na kujitahidi kujiepusha nayo,
lakini ninachojua huwezi kumshinda mchawi kwa kujaribu kujiepusha naye ktkt mazingira ya vitu vionekanavyo kwa macho ya nyama.
kwani anayo nguvu isiyoonekana anayoweza kuitumia kukunasa,
unaweza jitahidi kujiepusha na hayo yote ukaishia kunaswa

ukinaswa ndipo hoja ya mtoa mada inaposimama kwamba utalazimika kurudi kwa mshana ili akupe mbinu zaidi hapo ndipo utaangukia kwenye ulimwengu wa giza na kutumbukia kwenye shimo leeeeefu la utawala wa shetani.

MUHIMU:ili uweze kuwashinda wachawi. unatakiwa kuwa na nguvu kubwa zaidi yao na nguvu hii haipatikani popote zaidi ya kwa YESU tu.
 
mkuu faida ulizopata ni zipi kwa kuelezwa mchanganyiko wa vifaa vya. kichawi?
mbona swali rahisi.
mkuu sioni sababu ya wewe kutaka kuorodheshewa faida. labda kama tu unataka kujitia ubutu kifikra kwamba hata huu ukweli kwamba"one's mind, once stretched by new idea, never regains its original dimension" huoni uwepo wake katika maisha yako!
 
Niliwahi andika topic who s mshana jr mwaka jan a lakin haikupata wachangiaji sasa mmeibuka na kunpakazia ndugu yangu huyu mkatoliki anaelewa ushetani ukristu uaetheist na uislam kidogo
Katika yote akaamua kumfuata mungu mmoja yote anayofundisha ili mjue kuna vitu dunian vya namna hiyo vijue au viache
Basi
Kaka mshana jr ni optimist
 
Nenda kwenye browser uisearch utaipata
 
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..
Ili ujue dini yako kama n sahh ni lazma usome na dini za wengine. Huwezi kusema dini yako sahh ukiwa hujui dini za wengine znasema nn
 
1f05a8cd3dad0165f43b9443a2340eef.jpg

UHAKIKI WASILAHA
 
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..
Kwa tabia yake na mwenendo wake I am sure he is.Ila bado anayo nafasi ya kuchomoka kutoka kwenye makucha ya Shetani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom