Mshana embu kuja hapa

lolypop

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,430
1,681
Leo oct 27 usiku mnampango gani wachawi. Maana naona wachawi wa USA wanacelebrate embu utujuze kuna nini? Na hii "2731" namba maana yake nini?
IMG_20191027_230724_179.jpg
IMG_20191027_230645_437.jpg
IMG_20191027_230708_730.jpg

Rakim
 
Ukijumlisha hizo number unapata no 13... Namba inayoogopeka mno kwa wazungu ambapo kwa walozi wa huko hiyo ndio sikukuu yao ambayo huambatana na mwandamo wa mwezi
Leo oct 27 usiku mnampango gani wachawi. Maana naona wachawi wa USA wanacelebrate embu utujuze kuna nini? Na hii "2731" namba maana yake nini?
View attachment 1246733View attachment 1246735View attachment 1246736
Rakim
Mshana ataziweza hizi ndumba za watengeneza Boeing
 
Hizo ni formalities tu.... Kila kitu kina pande mbili na mizania pia... Lazima kuwe na balancing
Alhamis hii tarehe 31 ni sikukuu ya wachawi “haloween”. Msijihusishe kwa chochote kama vile kuvaa mask au mavazi ya kutisha bali salini na kuomba kuvunja nguvu zao.
 
Agriiiiiii....
hey am here!,
happy haloween day October 31..yeeyaaah...
Yesterday 27th moon came darkly,mngao wa mwezi hujichanganya na nyota,au mwezi huonekana kama nyota its a magician empowering day.
HAPPY HALOWEEN.
NAAMAH..!
(naamah ni ameni apewayo lucifer)
 
Back
Top Bottom