Nimeanza kuwa mature kiakili

mzee baba_tz

New Member
Mar 27, 2024
1
35
Wakuu samahani,

Kuna father mmoja nina kaundugu nae, amewai kuwa mtumishi wa serikali sekta ya usalama wa raia na mali zao.

Sasa juzi amepata msiba, nikampigia simu kumpa pole, cha ajabu ananiambia ukinipa 10k kama kahela kakunitoa machozi itakuwa powa.

Nikasema sawa nikipata ntakupa, nakaa dakika tano naona message tuma kwa namba hii.

Kesho ahsubui call zaidi ya 6 mixer message huku kuna mvua ooh nini ila target hela.

Mimi naona kumpa sio sahihi, kwasababu hakuna uhusiano wowote kati ya 10k na taratibu za mazishini.

Alafu huyu faza ana nyumba tatu hapa Dar na mikoani alafu mimi ndo nimpe hela kweli hata kiwanja sina?

Daaah nimempotezea bhana kama ipo ipo tu connection ntapata sio lazima yeye.

Enhee wajuba nimezingua au ndo matolokololelo.
 
Honestly Kaza tu . Wewe ukipata Msiba huyo mzee awezi toa . Watu kama hao wanakaza hela ambayo they don’t deserve amna Siwezi support hata hiyo pole ya simu inatosha . Money sio kiwango cha utu ffs
 
Hiyo ela yako haina uhusiamo na mazishi Ila kutoa kwako kutafanya na yeye akuweke daraja la miongoni mwa watu wake wa maana.

Ulimbukeni wako na ujuaji wa hovyo pamoja udadisi wako wa kitoto kuchunguza kila kitu vimekufanya Ujivunjie heshima Kwa mheshimiwa alikua anakuheshimu na kukamini.
 
Miaka ya nyuma nilikuwa na mwenye nyumba yaani mzee ,kwanza nyumba tunayokaa ni apartment za 140k na kuendelea zipo 3 na nyumba kubwa mbili moja si chin ya 500k ,bado mzee ana gorofa lake na gari ndogo ila anaendesha mkewe..
Sasa bhana huyu mzee kuomba 10k ni kawaida sana mpaka nashangaa ,mkewe ndio anaendesha magari kutwa hana noma ila sasa mzee ila ni mstaafu ..Mwanae mmoja anasoma nje ya nchi .

Ukiachana na kuomba huyo mzee ni mtu safi maana wala sio mlevi, anapenda utani na watu .
 
Hiyoo ni personal matter! Sasa sisi wana jf hii message inatusaidia nini? Na maturity hapo inahusianaje?
 
Miaka ya nyuma nilikuwa na mwenye nyumba yaani mzee ,kwanza nyumba tunayokaa ni apartment za 140k na kuendelea zipo 3 na nyumba kubwa mbili moja si chin ya 500k ,bado mzee ana gorofa lake na gari ndogo ila anaendesha mkewe..
Sasa bhana huyu mzee kuomba 10k ni kawaida sana mpaka nashangaa ,mkewe ndio anaendesha magari kutwa hana noma ila sasa mzee ila ni mstaafu ..Mwanae mmoja anasoma nje ya nchi .

Ukiachana na kuomba huyo mzee ni mtu safi maana wala sio mlevi, anapenda utani na watu .
Ukimchimba vizuri Huyo Mzee ana Madini,

Hao ndio Wazee wa kukaa nao chini kuongea kuhusu life
 
Wapumbavu wakifanikiwa kupractice ujinga wao hijiona Matured, Achana na mikumbo ya ujuaji kijana haikusaidii chochote. Unaweza toa huwezi/hupendi vunga ila usiwatambie watu ati ni maturity unajiaibisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom