Mshamba ni mtu wa namna gani?

Mshamba ni mtu wa namna gani?

Anakurupuka bila kujipanga utafikiri kalewa cha Mama wa Kwa Mfuga Mbwa wakati ana Ph.D ya mezani ya Chemistry kutoka Choo Kikuu Cha Manzese.
ha ha ha ha ha hapo kwenye rangi
 
Mshamba mi MTU asiyejua mshamba ni MTU wa namna gani
 
Ukizaliwa mjini kwenye choo cha shimo passport size, siku ukifika mjini kwenye choo cha ku flush utakuwa mashamba.
duuh unakuta choo hujui kukiflash wala nn unaweza ukadhalilika
 
Kishamba ni kijishamba kidogo dogo lakini mshamba ni bonge la shamba kubwa (mshamba wa heka 800)

Kwa maana nyingine mshamba ni mtu anaemiliki shamba lake binafsi na shughuli zake ni za huko huko shamba (eg. mfanyabiashara ni amtu anaemiliki na kufanya biashara)

Pia mshamba ni yule anaeshangaa vitu ambavyo havipo shamba vipo mjini (hajawahi kuviona shambani sababu vinapatikana mjini)
 
Back
Top Bottom