Hata Dar kuna Dar shamba Kazimzumbwi huko.Huyo atakuwa kafananishwa na mshamba kamili toka mikoani lakini sio mshamba.Wadar salaam kiasili sio washamba.
Kama unaenda kushangaa magorofa we ni MSHAMBA,ila ndio upo kwenye kujitoa ushamba.kwhyo mkuu tunavyoenda posta ni ushamba maana ndo kuna maghorofa mengi
I do agree you can't take Chato from that boy so we may as well leave Chatoboy alone,as it was not his wishes to be in power,it was the wishes of tanzanians who voted for him.You can take a boy out of Chato, but you can't take Chato out of him.
Tanzanians do not vote to elect the president.I do agree you can't take Chato from that boy so we may as well leave Chatoboy alone,as it was not his wishes to be in power,it was the wishes of tanzanians who voted for him.
Yani umenifanya nicheke kwa nguvu balaaaaNi mtu ambaye hajaiva.
hahahahah Freyzem unachekesha, kweli wewe hata kinunda yule wa math humjui. Sasa unasema d.w.t? Hiyo ni d.w.t makalio yako, kwa sababu unafikiria kutumia makario na some constant in the nominator, hivyo ukifanya differentiation lazima ulambe zero maana any zero divide by any number like your makalio iz zero.Wewe ni mburula!...
Hapo umefafanya hesabu gani?
Differentiation yenyewe huijui!
Hiyo ni differentiation with respect to what? Au umekurupuka na BAM yako uliyopata S? Tena ukome kuiandika I.D yangu hivyo! Hii siyo I.D ya mchezomchezo!
Usiniletee ulumumba uchwara wako,
Chura kampe mmeo alibambie...
Mshamba wa head wewe..
Swine!!
Kama unajua hesabu kweli njoo kivingine we pimbi!
naona nyege mshindo zimeisha baada ya kumtaja mbowePole kwa kuwa wewe ni mshamba shamba la Mh Mbowe na genge lake, kwa sababu wewe ni shamba na ni mshamba uliuzwa kwa vi billion hahahaha, jamaa anakula mrija kwa kuku tu sasa washamba mkiwa mnamilikiwa na nyeupe hahahah
UKIJIANGALIA VIZURI WEWE UKOJE KWENYE HII MADA,UTAJUA MAANA YA MSHAMBA......hujakosea ndio maana nataka nifahamu mkuu hebu nipe darasa kidogo
One can argue that Juma Nature, given the preparation and support, could have made a better president than JPM.So you mean we Tanzanians are idiots they can just accept to be given a person who is not a president material and just accept like that.(what if they were given a person like Juma nature or Wema Sepetu.will they vote them to power?
Chadema wangekua washamba wasingechukua majiji km Dar, Arusha na mbeya hali Ccm ndo washamba ndo mana wakachukua mji km Dodoma empty headed peasantsKama mashabiki wa chama mfu chadema
Kazimzumbwi ni Kisarawe mkuu,sio Dar hata hivyo kutokana na ukaribu wake na Dar hakuna washambaHata Dar kuna Dar shamba Kazimzumbwi huko.
![]()
Msitu ni "Pugu-Kazimzumbwi".Kazimzumbwi ni Kisarawe mkuu,sio Dar hata hivyo kutokana na ukaribu wake na Dar hakuna washamba
Kuna hifadhi ya msitu wa Pugu huu uko katika ramani ya Dar ambao unaungana na hifadhi ya Kazimzumbwi ambao uko katika ramani ya Pwani ingawa kuna tetesi kwamba wanataka kuunganisha/kuchukua eneo hilo kuingizwa wilaya ya Ilala.Msitu ni "Pugu-Kazimzumbwi".
Dar kuna washamba kibao.
Hata washamba wa ushamba ni washamba, wa ushamba.
Hakuna ushamba unaokamilika bila ya kusema ni ushamba wa nini.
Kuna washamba wa computer mpaka leo wanafikiri computer ni TV. Hapo hapo Dar.
Kuna watu wanakaa Dar lakini hawajawahi kupanda elevator (lift). Kwenye hilo ni washamba.
Kwa hiyo hata Dar kuna washamba wa lift.Kuna hifadhi ya msitu wa Pugu huu uko katika ramani ya Dar ambao unaungana na hifadhi ya Kazimzumbwi ambao uko katika ramani ya Pwani ingawa kuna tetesi kwamba wanataka kuunganisha/kuchukua eneo hilo kuingizwa wilaya ya Ilala.
Hao wasiojua tofauti ya tv na video watakuwa washamba toka shamba/vijijini kuhusu kupanda lifti ni kwamba sio majengo yote mjini yana lifti,of course no body knows how things operate at his first sight.
Dar kuna mfano wa Washamba kamiliKwa hiyo hata Dar kuna washamba wa lift.
Dhana ya kwamba Dar hakuna washamba si ya kweli.
"Washamba kamili" ni kitu gani hicho?Dar kuna mfano wa Washamba kamili