Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,120
- 2,694
Kajaribiwa Yesu Kristo aliyeitwa Masiha, itakuwa huyu wa kuungaunga?
we mi sipo,mie mtazamaji tu wa ugomvi wenu {Kati yako na Mh: Mtukufu Mfalme wa inchi}.
Kajaribiwa Yesu Kristo aliyeitwa Masiha, itakuwa huyu wa kuungaunga?
history ya darasani au ?
Ni mpuuzi tu huyu!. ..huyu dada keshaanza kuchafua hali ya hewa
mshamba ni mtu anayemiliki shamba hii inaweza ikaleta ukamiliKishamba ni kijishamba kidogo dogo lakini mshamba ni bonge la shamba kubwa (mshamba wa heka 800)
Kwa maana nyingine mshamba ni mtu anaemiliki shamba lake binafsi na shughuli zake ni za huko huko shamba (eg. mfanyabiashara ni amtu anaemiliki na kufanya biashara)
Pia mshamba ni yule anaeshangaa vitu ambavyo havipo shamba vipo mjini (hajawahi kuviona shambani sababu vinapatikana mjini)
siikubali elimu ya darasani ikiwa nchi yetu ina wasomi lakini still hawawatimizii raia wanachokitakawe jamaa wewe, kwa hiyo wewe unaijua na kuikubali elimu ya darasani tu?
Niliyokupa mimi ni elimu ya kitaa a.k.a street education a.k.a informal education.
Upo hapo!
aliyezaliwa mjini?????je wa mjini hawezi kuwa mshamba mkuu?
Magu siyo mshamba.from CHATO TO IKULU(ikulu ni kwa wajanja tena wa high level)Mshamba ni Magufuli.
labda akienda mjini zaidiYAP MKUU
You can take a boy out of Chato, but you can't take Chato out of him.Magu siyo mshamba.from CHATO TO IKULU(ikulu ni kwa wajanja tena wa high level)
Watu wa mikoani wote wanaitwa washamba kutokana na asili yao kulima mashambanikwhyo mkuu mshamba anatokana na neno shamba/kijijini ?
Huyo atakuwa kafananishwa na mshamba kamili toka mikoani lakini sio mshamba.Wadar salaam kiasili sio washamba.Ukizaliwa mjini kwenye choo cha shimo passport size, siku ukifika mjini kwenye choo cha ku flush utakuwa mshamba.